Mwanzo wa meditation

nitajuaje kama nimefanikiwa kuweza kumeditation kwa njia hiyo ya kwanza (kutumia pumzi) yaani kuna dalili gani zinazoashiria kuwa nimeweza?
 
nitajuaje kama nimefanikiwa kuweza kumeditation kwa njia hiyo ya kwanza (kutumia pumzi) yaani kuna dalili gani zinazoashiria kuwa nimeweza?
Pale Utakapoweza Kufikia Kuona Matukio Yaliopita Na Paji La Uso Kuleta Mitetemo au mwanga wa nuru ama kidudu kutembea hiyo hatua ya kwanza
 
Pale Utakapoweza Kufikia Kuona Matukio Yaliopita Na Paji La Uso Kuleta Mitetemo au mwanga wa nuru ama kidudu kutembea hiyo hatua ya kwanza
rakims nauliza hivi ni muda upi utafanya maombi mengine?wakati unaendelea na meditation au baada ya meditation?
 
Maombi Vipi Yani Sijakupata Vizuri?

Rakims
asante kwa swali rakims yaani mimi nipo meditation ya pumzi nahitaji kuomba kazi au chochote kile ni muda huohuo wa meditate au vipi naomba kuelewa
 
asante kwa swali rakims yaani mimi nipo meditation ya pumzi nahitaji kuomba kazi au chochote kile ni muda huohuo wa meditate au vipi naomba kuelewa
Wakati Pale Nguvu Inaanza Kukushukia Au Wakati Pale Unaanza Kuona Kama Watu Wana Mavazi Meupe Wanakusogelea(Hii Mara Nyingi Ni Kwa Wenye Majini)

Rakims
 
Du! Endelea na somo tutaelewana tu!
 
Napenda kukupongeza kwa nyuzi zako. Unatupatia elimu kubwa sana ambayo wengine walijua walifanya SIRI KUBWA.Tunaomba uendelee kutuelimisha na pale tutakapo hitaji ufafanuzi au msaada zaidi usichoke kutusaidia mkuu.MUNGU AZIDI KUKUJALIA MAISHA MARERU.
 
Haya sasa ndio mambo tulikuwa tunayahitaji mkuu,
Hizo hapo ni aina tatu za meditation,sasa how to practice?hivyohivyo ulivyoeleza ndio imetosha?
Mkuu Rakims tiririka watu wana mzuka kwelikweli wa haya mambo
Mhhhh sio Mungu huyu wa Isaka Ibrahim na Yakob nasema sio itakuwa miungu mingine soma Biblia uujue ukweli.
 
Napenda kukupongeza kwa nyuzi zako. Unatupatia elimu kubwa sana ambayo wengine walijua walifanya SIRI KUBWA.Tunaomba uendelee kutuelimisha na pale tutakapo hitaji ufafanuzi au msaada zaidi usichoke kutusaidia mkuu.MUNGU AZIDI KUKUJALIA MAISHA MARERU.
Ahsante Na Karibu Tujadili,

rakims
 
Yaani hiyo hali mpaka ukiachive basi utakuwa usingizini na baada ya meditation itakuwa ni ndoto sasa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…