Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Natumai wanajamvi mpo poa: MREJESHO:

Baada ya kufwatilia kwa makini darasa la meditation nilianza "practical" Siku ya kwanza nilianza kuvuta hewa na kutoa kama ilivoelekezwa na mkuu Anaeli, Rakim, Mshana na wajuz wengine.....baada ya dakika 20 ivi mwili ulipata ganzi kuanzia kidolen mguu hadi paji la uso. Siku ya pili nayo hivo hivyo. Siku ya tatu nilikua nikipata taswira ya jicho nikiwa katika shughuli zangu za kila siku, taswira "image" iyo ya jicho ilikua ikinijia akilin mwangu mara kwa Mara ivo ikanistua nikaacha MEDITATION.

Baada ya siku kazaa nikaendelea kusoma zaid juu ya MEDITATION nikaanza tena kufanya kichwa kikawa kinauma japo c sana nafeel pressure katkat ya kichwa, hali hiyo ilitoweka baada ya siku 2 pia nikilala bila hata ya kuwa nafanya meditation picha tofaut za kuvutia znanijia akilin kama vile, Maya, Miti,magari yani rangi nyingi nyingi sana......hii ilinitokea siku moja,,,, bado naendelea na meditation, Swali Je Third eye yangu itakua tayar imefunguka au bado.

Mafanikio....nikitaka kitu na kipata yani ata nikitaman simu yako utainisahaulia tu, pia machale yameongezeka nikiwa na shida na mtu kama yupo maeneo jiran naweza kumwona ' inakua ivi mfano naweza hisi ngoja nipitie apa nikatazame kitu fulan then tunaonana, kuna mengi sana nmejionea ndani ya mda mfupi....mf nikitaka kwenda pahali fulan anaweza tokea MTU anaelekea uko akanipa lift au maelekezo ya nilichokua nakiwaza
 
eo ni siku ya kimataifa ya Yoga , Meditation au Tahajudi.

Siku hii imeadhimishwa kwa mazoezi ya Yoga kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Habari, Vijana , Sanaa na Utamaduni, Mhe. Nape Mnauye na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Darisalama, Paul Makonda.

Kwa wasio jua kuhusu Yoga, meditation au tahajudi karibuni pande hizi.
Psychic Powers: Ni Nguvu za Kufanya Miujiza. Wengi wanazo bila ...
Mafunzo ya Meditation Bure. Ni Kupitia Brahima Kumaris Meditation ...
Ni Leo Jioni Pale ...."Karibuni Njooni Tumediteti!" | JamiiForums ..
"Will Powers!", "Faith Healing!"-NgMiujiza Ya Uponyaji kwa Imani ...
Jifunze: Namna ya kufanya TAHAJUDI (Meditation)... | JamiiForums ...

Meditation (Tahajudi a.k.a Tafakuri Kina) | JamiiForums | The Home ...
Mwanzo wa meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Je unataka kuishi maisha ya amani na utulivu? Fanya hivi ...
Meditation in your daily routine | JamiiForums | The Home of Great ...
Ushuhuda wa ukweli kuhusu meditation | JamiiForums | The Home of ..
Your Brain on Meditation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Sitaki tena kupaa angani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers
Jinsi Ya Kupanga Na Kupangua Ubongo Ili Kutimiza Ndoto (Hypnosis ...
Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way ...
Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation? | Page 2 ...
Washa Na Kuzima taa au mshumaa kwa nguvu ya fikra | P
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)
Faida Za Kimwili (Afya) Na Kiroho (Imani) Za Kufunga |

Kwanini tunanaongelea sana watu tufanye meditation?
Mawasiliano ya kiroho katika milango nane ya fahamu
Ni wakati wa kujitambua (Jua ulikotoka)
Kuna siri gani kwenye ulimwengu wa kiroho ukilala chali? | Page 7 ...


Mwana jf Mtambuzi ni mwana tahahajudi mkuu humu jukwaani. Wengine ni kina
mshana jr, MziziMkavu, Rakims na wengine wengi.

Karibuni tutafakari.

Pasco
 
Natumai wanajamvi mpo poa: MREJESHO: Baada ya kufwatilia kwa makini darasa la meditation nilianza "practical" Siku ya kwanza nilianza kuvuta hewa na kutoa kama ilivoelekezwa na mkuu Anaeli, Rakim, Mshana na wajuz wengine.....baada ya dakika 20 ivi mwili ulipata ganzi kuanzia kidolen mguu hadi paji la uso. Siku ya pili nayo hivo hivyo. Siku ya tatu nilikua nikipata taswira ya jicho nikiwa katika shughuli zangu za kila siku, taswira "image" iyo ya jicho ilikua ikinijia akilin mwangu mara kwa Mara ivo ikanistua nikaacha MEDITATION. Baada ya siku kazaa nikaendelea kusoma zaid juu ya MEDITATION nikaanza tena kufanya kichwa kikawa kinauma japo c sana nafeel pressure katkat ya kichwa, hali hiyo ilitoweka baada ya siku 2 pia nikilala bila hata ya kuwa nafanya meditation picha tofaut za kuvutia znanijia akilin kama vile, Maya, Miti,magari yani rangi nyingi nyingi sana......hii ilinitokea siku moja,,,, bado naendelea na meditation, Swali Je Third eye yangu itakua tayar imefunguka au bado. Mafanikio....nikitaka kitu na kipata yani ata nikitaman simu yako utainisahaulia tu, pia machale yameongezeka nikiwa na shida na mtu kama yupo maeneo jiran naweza kumwona ' inakua ivi mfano naweza hisi ngoja nipitie apa nikatazame kitu fulan then tunaonana, kuna mengi sana nmejionea ndani ya mda mfupi....mf nikitaka kwenda pahali fulan anaweza tokea MTU anaelekea uko akanipa lift au maelekezo ya nilichokua nakiwaza
Nani amekupa INITIATION acha utaumia sio rahisi ki hivyo.
 
JINSI YA KUFANYA MEDITATION

Meditation:
Ni ile hali wakati mawazo yanapokuwa yameyeyushwa na kufikia mahali ambapo hakuna fikra yenye kuingia tena.
¡¤ Wengine wanaielezea tahajudi kwamba, ni sala za usiku wa manane.

FAIDA ZA MEDITATION
1. Husaidia kuratibu msukumo wa damu pamoja na usafirishwaji wa damu mwilini.
2. Husaidia pumzi pamoja na kurahisisha usagwaji wa chakula mwilini.
3. Husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini.

4. Husaidia kuleta furaha ya nafsi.
5. Husaidia kuimarisha nguvu yako ya machale pamoja na nguvu zako za ziada.
6. Husaidia kutibu matatizo mengi ya kisaikolojia kwani hubadili hali ya mfumo wa fahamu na mawazo (endapo itafanywa kila siku).
7.meditationpia inaweza kutumika kuomba kitu unachohitaji,kamavile kazi au mahitaji mbalimbali,
Hatua zinazotakiwa wakati unajiandaa


Kufanya meditation ni kamai fuatavyo:
1. Tafuta sehemu iliyotulia, isiyo na makelele. Kaa kwenye kiti au chini, au lala kitandani. Hakikisha huumii mahali popote. Legeza mwili wako pamoja na misuli yote ya mwili wako kwa kadri utakavyoweza.
2. Sahau matatizo yako yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Sahau matatizo yako ya kazini au nyumbani. Jitahidi usifikirie chochote.
3. Ni muhimusanakujali hisia zako wakati unafanya tahajudI.
4. Pumua kwa kuingiza pumzi ya kutosha mapafuni, halafu toa pumzi yote na kufanya kifua kiwekamakitupu. Weka mawazo yako yote kwenye pumzi zako
.
Aina za :meditation
1.meditation ya pumzi.
Ni kongwe zaidi. Ilianzia china naIndia. Ni tahajudi nzuri au muhimu kwa wale wanaoanza kujifunza.
2.meditation ya mkono:
Hii inakuonyesha ni kwa jinsi gani mawazo yako yana nguvu zaidi kuliko mwili. Lakini pia inakuonyesha uhusiano uliopo kati ya mawazo yako na mwili wako.

3.Tahajudi ya namba:
Hapa, unatakiwa kuhesabu namba kinyumenyume huku ukiwa umefumba macho. Unaweza ukaanzia 100, 99, 98, 97, 96, ¡-mpaka 1, au unaweza kuanzia 200, 198, 196, 194, 192, ¡-mpaka 2. hakikisha wakati unahesabu namba hizi hukosei, na ikitokea ukakosea namba yoyote hata
kamaumekaribia kumaliza, itakulazimu kuanza upya. Tahajudi hii ni nzurisanakwa kurejesha kumbukumbu, ingawa pia ina faida nyingine.

Hizo ni baadhi ya tu ya aina za meditation.... By Rakims

Rakims haya ni mazoezi ya Concentration. Sio meditation, iliufanye meditation lazima upate inititiation kwani kufanya meditation kiholela naweza leta madhala hasa kama ya mantra, light and sound au kundarine.

Kumbuka meditation ni tofauti na Yoga au mazoezi kama hayo, Yogi anafanya hayo kwa ajili za kupata concentration and calmness aweze pata mafanikio kwenye meditation. Meditation is about spiritual transformations and awareness of knowledge around yourself (the Spirit).
 
Natumai wanajamvi mpo poa: MREJESHO: Baada ya kufwatilia kwa makini darasa la meditation nilianza "practical" Siku ya kwanza nilianza kuvuta hewa na kutoa kama ilivoelekezwa na mkuu Anaeli, Rakim, Mshana na wajuz wengine.....baada ya dakika 20 ivi mwili ulipata ganzi kuanzia kidolen mguu hadi paji la uso. Siku ya pili nayo hivo hivyo. Siku ya tatu nilikua nikipata taswira ya jicho nikiwa katika shughuli zangu za kila siku, taswira "image" iyo ya jicho ilikua ikinijia akilin mwangu mara kwa Mara ivo ikanistua nikaacha MEDITATION. Baada ya siku kazaa nikaendelea kusoma zaid juu ya MEDITATION nikaanza tena kufanya kichwa kikawa kinauma japo c sana nafeel pressure katkat ya kichwa, hali hiyo ilitoweka baada ya siku 2 pia nikilala bila hata ya kuwa nafanya meditation picha tofaut za kuvutia znanijia akilin kama vile, Maya, Miti,magari yani rangi nyingi nyingi sana......hii ilinitokea siku moja,,,, bado naendelea na meditation, Swali Je Third eye yangu itakua tayar imefunguka au bado. Mafanikio....nikitaka kitu na kipata yani ata nikitaman simu yako utainisahaulia tu, pia machale yameongezeka nikiwa na shida na mtu kama yupo maeneo jiran naweza kumwona ' inakua ivi mfano naweza hisi ngoja nipitie apa nikatazame kitu fulan then tunaonana, kuna mengi sana nmejionea ndani ya mda mfupi....mf nikitaka kwenda pahali fulan anaweza tokea MTU anaelekea uko akanipa lift au maelekezo ya nilichokua nakiwaza
Mkuu kwanza inaonyesha mwili na akiri yako unavibration sana, hivyo anza kwa kupunguza kula nyama, samaki , mayai, usinywe pombe wala kuvuta sigara
 
Its All About Relaxation And Carefulness

Rakims
 
Pitia Na Hapa Mkuu Uweze Kupata Kutofautisha Hatua Hizo Utakazo Pitia Ili Uweze Kutofautisha Mazingira Ya Humo Ndani Ya Third Eye...
MziziMkavu

Rakims
 
usilaumu Cjapata Namba Yako Ni P.m Tena..

[HASHTAG]#Rakims[/HASHTAG]

Nafikiri Mkuu Rakims Hapa Ndio Ungeendeleza Darasa Hili Kwa Ufasaha Zaidi Maana Kule Kwenye Uzi Wa Psychic Powers Kuna Viherehere Wanatuchafulia Nafikiri Ungehamishia Somo Upande Huu Ili Wanaoleta Udini Tuwape Dawa Yao Kabisa Waache Kutusumbua,ni Ushauri Tu Natoa Angalia Namna Nzuri Ya Kufanya Mkuu
Asante

Mkuu tunasubili elimu jins ya kufanya....!!
 
Back
Top Bottom