Mwanzo wa meditation

Niliifanya ile ya pumzi nikafika stage kama masikio yalikuwa yanakata mawasiliano na duniani nikajiisi naingia upande wa pili wa ulimwengu wa roho nikaamua kuacha lakini nitarudia tena
 
Haya mavitu hakuna lolote lile napingana kabisa na nyenye wapiga lamli mnahusisha na ushirikina af mnakuja kutudanganya hapa
 
Mkuu unatakiwa uvute hewa iingie kifuani mara ngapi na je unatakiwa kuibana kabla ya kuitoa?
 
Hiyo hatua nyingine ikoje?
 
nitajaribu km nikiweza nitaleta mrejesho pia naomba uwe unani tag kwenye uzi km hizi
 

Hapo sijaelewa vizuri kumbe kuna siku sahihi
Siku sahihi muda sahihi na saa sahihi hapo nikikumaanishia wewe yani unatakiwa uwe tayari kufanya hiyo meditation maana usifanye wakati unawaza nikimaliza niende sehemu fulani au ukatishe zoezi yani hizo sahihi waweza kugeuza free..
 
I mean unaweza kuanza pia na pumzi kwa kupumua huku ukihesabu namba mf 10-1 au 100-1 kila unapotoa nje pumzi unasema namba
Kwahiyo kufanya hivyo yaani kuvuta pumzi ndo kunaongeza brain concentration?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…