Samiah julius
Member
- May 29, 2017
- 16
- 12
Meditation ndio nn mkuuKaribu tujifunze kwa pamoja, mkuu
Rakims
Sawa mkuuMkuu fungua mwanzo wa uzi nimetambulisha hiyo kitu,
Rakims
Meditation ya kutafari Neno la Mungu lililoko kwenye Biblia ya Kikristo sio dhambi.Eti kwa wakristo meditation ni dhambi au LA? Naombeni maandiko