Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
ShukraniHiyo hutokea pale MTU sense zake zinapoanza kuingia astral planet uoga wa bure mkuu,
Rakims
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShukraniHiyo hutokea pale MTU sense zake zinapoanza kuingia astral planet uoga wa bure mkuu,
Rakims
Shukrani
Kwa sasa nikitulia nitafanikiwa bila usumbufuHahaha hata mimi kaka ni uoga unaonifanyaga nshindwe mpk leo
kuna hatari gan ya kufanya meditation bila ya mwalimu I mean peke yako na ni kwamara ya kwanzaHiyo hutokea pale MTU sense zake zinapoanza kuingia astral planet uoga wa bure mkuu,
Rakims
Hapana huwezi kupotea kwenye akili yako mwenyewe mkuuWakuu naomba nijuze hili... Kama ukiwa katuka hali hiyo akili ubongo unakua upo katika hali gani? Na utashi je? Ndio vyote vitakua vimetulia? Maana nitakua sifukirii chochote wakati huo. Inamaana nitakua unconscious? Sitapotelea huko huko? Ule ufahamu wakurudi kawaida utakujaje?
hivi haya mambo yapo kweli ama..? naona kama uhayawani!Pole na majukumu Mr, mimi nilishafika hapo kitambo ila nikajikurupua baada ya kusikia watu wanatembea chumbani kwangu ilihali nilikuwa pekeangu na nilikuwa nimefunga mlango na dirisha.
Hapo nini maana yake kaka.
nakumbuka nilisikia furaha kuu na nikaona mwanga mzuri uliotokea kwenye paji langu la uso na kupanda juu kanakwamba hauna mwisho.
Yote hayo yalitokea nikiwa nimelala chali huku nimefumba macho na kufata maelekezo ya ule uzi wako wa (JINSI YA KUTOKA NJE YA MWILI/ASTRAL PROJECTION)