Mwanzo wa meditation

Mbona inaonekana unakuwa unacheza kwenye ubongo wako tu.
Kama kweli kweli ukiomba kitu kinatokea huu ni uchawi basi.
Naomba nfafanulie kwa sababu umesema hadi mashetani hutokea unavomeditate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa naskia hizo sauti kabla sijalala ila hata nikistuka huo muda wa hizo sauti zinapozungumzwa huwa sikumbuki zilikuwa zinasemaje.nifanyeje ili kukumbuka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifanya hiyo nikahisi naingia motoni, Thubutuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwanzo nilipitia hii post nikaanza kujaribu, ni kweli unasikia utofauti flani hivi wenye raha ndani yake na unapata full ideas lakini pia inakutengenezea uwezo wa kujiamini.
Bahati mbaya sana nikaacha tena, siku hizi nikifanya najikuta nimeshapitiwa na usingizi. Msaada kwa hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahidi kufanya ukiwa umekaa bila kuegama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…