Mwanzo wa meditation

Mkuu hizo ni hadi uvuke huku chini uweze kujiground kwanza baadae ndio kuja kujifunza kumerge na mengineyo
Hizo za mwanzo nimeshapractice zaidi ya hapo kumenisababisha kichwa kikawa kinavibrate kwenye paji la uso yaan xipati hata faida yake nataka higher level maana hizi ndogo zinatisha
 
Kiongozi, unaweza kuelezea hapa namna ya kufanya meditation ya kurahisisha jambo fulani au kimahusiano kwa manufaa ya tusiofahamu vizuri?
 
Hizo za mwanzo nimeshapractice zaidi ya hapo kumenisababisha kichwa kikawa kinavibrate kwenye paji la uso yaan xipati hata faida yake nataka higher level maana hizi ndogo zinatisha
Endelea kupractice utaona matokeo mkuu na huku chini ndio funguo za yote
 
Mansoor Daya yule mmiliki wa kiwanda cha madawa ya binadamu pale karibu na quality center au?
 
Ndio, the real owner, inawezekana owner wa sasa ni kizazi chake. Wakati huo walikuwa na duka la madawa round about askari monument opposite Empress Cinema.
Mansoor Daya yule mmiliki wa kiwanda cha madawa ya binadamu pale karibu na quality center au?
 
Nimekuelewa Rakims lakini be careful kwani sio kila mtu anaweza kufanya meditation, inahitaji guidance sio kila MANTRA inafaa kwa kila mtu, zingine badala kutoa mafanikio chanya zinatoa matokeo hasi, watu wasije pata vizunguzungu au kuona maluelue.

Hata walozi na wachawi wanatumia MANTRA au SPELLS kufanikisha mambo yao. Hivyo unapaswa kujua hao wanafunzi wako unawatoa ngazi gani na unapandisha mpaka gazi gani? Mfano kuna wengine wamesha anza kuulizia power kama Astral projections, hii ni hatari sana, inahitaji uwe initiated iliuweze kujua njia ya kurudi kwenye mwili hasa katika mazingira yasio rafiki, kishindo au haliyeyote ya kushtukiza, usiyo itarajia inaweza kukuua, power hii ndio iliyosababisha kifo Bruce Lee akiwa anacontact Kumfu -Masters, mbaya zaidi, ukifia kwenye level hiyo (Astral level au Ngazi ya wachawi) kutoka na kupata mwili ni shida si unajua mambo ya Rencarnation. Usishauri mtu kufanya meditation kusoma kitabu unless ziwe za mazumuni ya kuboresha afya zao kama za pumzi na kama anafanya nyiginezo awe anajitathimini, akiona matokea si chanya aache, atafute nyingine, kwenye thread zako nimeona member mmoja akilalamika kuwa hujisikia vibaya baada ya kufanya meditation na ulikuwa unamshauri andelee. Ni hatari.

By the way tunachoongelea hapa haki qualify kuitwa Meditation, bali ni concetration, ku cum down the mind ili kuwa makini na kukuza uwezo wa kufanya mambo kwa umakini zaidi, au kuweka umakini au focus pale ulipo. Hii inaenda pamoja na kufanya body cleansing, ku diet na physical exercise kama Hatha Yoga

To do Meditation like to be in spirit, to be with spirit, so meditation inanzia baada ya Inition Onwards, baada ya Chakra yako kuwa imekuwa eleviated. Before that unakuwa unafanya mazoezi ya kuwa kwenye meditation. Mfano wa kuwa kwenye meditation kwenye Biblia ni Revelation 1: kuanzia mstari wa 9 kuendelea.

Anyway sio mbaya ku mix the 2 kwani hata mimi nilisemaga nafanya meditation mpaka nilipofunguliwa ThirdEye ndio nilijua tofauti.
 
Ndio, the real owner, inawezekana owner wa sasa ni kizazi chake. Wakati huo walikuwa na duka la madawa round about askari monument opposite Empress Cinema.
Mpaka leo lipo nadhani nimefanya kazi na yule mzee miaka ya 2011 kazeeka sana ningejua ningepata ujuzi kumbe.
 
Jacqueline mengi ni mdau mkubwa wa meditation nimemsikiliza kwenye interview vp kuna sehemu wana train au ni lazima ufanye mwenyewe home
 
Sijakuelewa.
Kwa mujibu wa maelezo yako yaliyokinzana na mkuu Rakim ni kwamba alichokielezea si meditation ila ni self concentration, sasa basi waweza kutueleza angalau namna meditation halisi inavyofanywa?

Mfano ya kufanya mahusiano yawe bora au kufanikiwa ni mifano tu hii unaweza kuchagua chochote
Asante
 
Angakia mchango wangu namba 849 nimetofautisha Meditation na concetration, pia ni muhimu kujua tatizo lako ni nini. Ni afya ya kimwili au afya ya ki fikra?
 
Mkuu tunapishana mapokeo maana hata vitu unavyoviongelea sana tunachochengana Lugha. Ila nimekuelewa tofauti yetu ipo wapi,
 
Meditation inafanywa Rohoni (in the spirit with the spirit), Concetration inafanyika kwenye akili kushika wazo moja kukwepa kupepelushwa au kutekwa na mawazo mengine. Mafanikio ya Concetration in kuwa makini katika kila ukifanyacho na kwa hiyo utaoneka ni smart popote pale uwepo. Mafanikio ya Meditation ni kupata knowledge of creation and God realization.

Kwenye maisha ya Yogis, concetration inafanywa aspirant (anayejitayarisha kuwa mwanafunzi) kumtayarisha, iliakipata Initionion, au uamsho na kufungulia jicho la tatu ili afanye meditation (mafunzo ya kiroho) kwa u makini zaidi na huyu anaitwa mwanafunzi au disciple.

Dripboy labda nieleze ni mafanio gani uliyategea zaidi ya umakini na kumjua mungu?

Nadhani nimekujibu.
 
Shukrani sana kiongozi.

Nina miaka saba kazini kwenye taasisi ya serikali niliingia kwa mgongo wa mzee wangu ambaye sasa ni mstaafu nikapata cheo kikubwa sana ambacho kikawaida ningetakiwa nikifikie angalau kwa miaka kumi, ila sioni mafanikio yoyote nimejiingiza hadi kwenye kamari Kiongozi wangu sasa ninachokihitaji nataka nipate pesa nyingi kupitia shughuli nazozifanya

Sasa waweza kunielekeza nianze vipi au meditation haisaidii kwa ninayoyataka?
 
Pole sana, unatakiwa kupatiwa ushauri nasaha, na uwekwe nyenye therapy, yoga au concetration exercise haitakusaidia.
 
Hizo za mwanzo nimeshapractice zaidi ya hapo kumenisababisha kichwa kikawa kinavibrate kwenye paji la uso yaan xipati hata faida yake nataka higher level maana hizi ndogo zinatisha
Hakuna ulichopata bado mkuu akili inakudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…