Nimekuelewa Rakims lakini be careful kwani sio kila mtu anaweza kufanya meditation, inahitaji guidance sio kila MANTRA inafaa kwa kila mtu, zingine badala kutoa mafanikio chanya zinatoa matokeo hasi, watu wasije pata vizunguzungu au kuona maluelue.
Hata walozi na wachawi wanatumia MANTRA au SPELLS kufanikisha mambo yao. Hivyo unapaswa kujua hao wanafunzi wako unawatoa ngazi gani na unapandisha mpaka gazi gani? Mfano kuna wengine wamesha anza kuulizia power kama Astral projections, hii ni hatari sana, inahitaji uwe initiated iliuweze kujua njia ya kurudi kwenye mwili hasa katika mazingira yasio rafiki, kishindo au haliyeyote ya kushtukiza, usiyo itarajia inaweza kukuua, power hii ndio iliyosababisha kifo Bruce Lee akiwa anacontact Kumfu -Masters, mbaya zaidi, ukifia kwenye level hiyo (Astral level au Ngazi ya wachawi) kutoka na kupata mwili ni shida si unajua mambo ya Rencarnation. Usishauri mtu kufanya meditation kusoma kitabu unless ziwe za mazumuni ya kuboresha afya zao kama za pumzi na kama anafanya nyiginezo awe anajitathimini, akiona matokea si chanya aache, atafute nyingine, kwenye thread zako nimeona member mmoja akilalamika kuwa hujisikia vibaya baada ya kufanya meditation na ulikuwa unamshauri andelee. Ni hatari.
By the way tunachoongelea hapa haki qualify kuitwa Meditation, bali ni concetration, ku cum down the mind ili kuwa makini na kukuza uwezo wa kufanya mambo kwa umakini zaidi, au kuweka umakini au focus pale ulipo. Hii inaenda pamoja na kufanya body cleansing, ku diet na physical exercise kama Hatha Yoga
To do Meditation like to be in spirit, to be with spirit, so meditation inanzia baada ya Inition Onwards, baada ya Chakra yako kuwa imekuwa eleviated. Before that unakuwa unafanya mazoezi ya kuwa kwenye meditation. Mfano wa kuwa kwenye meditation kwenye Biblia ni Revelation 1: kuanzia mstari wa 9 kuendelea.
Anyway sio mbaya ku mix the 2 kwani hata mimi nilisemaga nafanya meditation mpaka nilipofunguliwa ThirdEye ndio nilijua tofauti.