Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RAKIMS mi ni kati ya wanafunzi wako ambao tumeathirika sana na hali halisi ya mazingira,Darasa tamu tena tunaelewa sana,kikwazo ni hizo kelele,Hebu tujibu na Mshinyanga kama inaruhusiwa kuziba masikio kwa namna yoyote ili mradi nisibane sana nikapata maumivu....!!
hahahah! Mawazo Marefu Sana.. Yap Waweza Kuweka Pamba Lakini Swali, Vipi Ukitaka Kutoka Kwenye Huo Ulimwengu Wa Roho.. Kidole Utakiskia Ukigonga?
#Rakims
Sasa mkuu, hivi nikishaingia kwenye huo ulimwengu wa kiroho maana huo ni ulimwengu wa viumbe visivyoonekana hali yakiusalama ikoje? Je hakuna uwekano wa hivyo viumbe viovu kunivamia?
Nakuuliza hili Kwasababu hata biblia inasema akujaye mbele ya uso wa Mungu na ajitakase kwanza. Yaani kabla ya kufanya maombi kwanza ni lazima uombe msamaha wa dhambi ili usiwezee kushambuliwa kiroho na spirits mbaya.
Sasa je kuanza kumeditate before repentance Haina madhara?
Asante mkuu, mwanafunzi wako mtiifu hapa.
Darasa sasa linakolea, nilijaribu ku google nikakutana na binaurals beat kuja huku napo tayari nazikuta, zipo hata you tube na kuna app kabisa lkn nasikia sio zote origin. Mwalimu hebu ingiza hicho kipengele kwanza mambo yakae sawa. Tupatie hizo beats zenyewe na namna ya kuzitumia.
kila Benaural Beat Inaenda Na Type Ya Power.. Kuna Telepathy Binaural, Precognition.. Telekinesis n.k ukiwa Na Telekinesis ukatumia beats za precognition Unapoteia...!
#Rakims