mwana ally
JF-Expert Member
- Jan 30, 2014
- 363
- 119
Lazima niijue hii kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Uzi Wa Pasco, Search: Psychic Powers, Ni Nguvu Za Kufanya Miujiza Wengi Wanazo Bila Kujitambua Je Wewe Unazo?
Au Search Hivi Rakims Utauona Umeandikwa Psychic Powers Ndo Huo Wa Pasco...
Hapo Unamkuta Na Mshana Jr Lakini Yeye Uzi Wake Siufahamu..
#Rakims
Shukran sana ndugu yangu,nitakaza uzi na leo ili niendelee kuziamsha power zilizopo ndani....
Naomba kuelimishwa kitu hapa,mie nina uwezo wa kusolve tatizo lolote utakalonieleza.Mfano,umenieleza nikupe ushauri,ukinieleza tatizo mi huwa napata picha ya tatizo lilipoanzia(na unakubali ni kweli),je hiyo power ipo kwenye kundi lipi?
Vile vile nnaweza kukuangalia nikajua unachowaza,au mtu kuniambia flani alikiwa akikusema,bila kunieleza alichosema ukinieleza mtu tu nakuambia alichozungumzia...ni power ipi na nifanye nini kuipa nguvu na kuicontrol?
Bila kusahau nikiwa na shida(hasa pesa) nikiwaza kidogo nampata ambae nikimwambia shida yangu atanisaidia na nikimueleza fasta ananigea kile kile kiasi nilichokihitaji...hii pia ni nguvu ipi na nitaiongoza kwa njia ipi?
Nilipofanya meditation ya kuopen third eye nilisoma chakra zifuatazo(nilitumia throat chakra kuifungua)...nilipata vibration kwenye third eye area,eneo la katikati ya mdomo na pua(ni chakra ipi hii),chini kidogo ya kifua(ni chakara gn hii),maeneo ya moyo,na eneo la kitovu...je hizi ni chakra? Na ni zipi?
Natanguliza shukran
Wakufunzi kumekucha naamini mpo sarama Mwenyezi Mungu amewaamsha sarama,karibuni tuendelee na uzi wetu......kama ujuavyo mwanafunzi aanzapo masomo hutamani hata mwalimu asilale ndio kama sisi Katika jukwaa hili,RAKIMS karibu....!!
Hivi ni lazima kukaa sakafuni au kwenye mkeka unapotaka kufanya meditation? Je, nikikaa au kulala kitandani haiwezekani? Samahani ndugu RAKIMS kwa swali hilo. Mimi nimefuatilia sana darasa zako juu ya kujitambua sisi kama binadamu na nguvu tulizonazo. Nina kubaliana na wewe kwenye kila kitu kwani kuna baadhi ya mambo Mungu ametupa uwezo wa kuyamudu wenyenye isipokuwa kutokana na kutokuwa na elimu tunashindwa kutambua uwezo tulionao na hivyo kujenga dhana za uoga na kuamini kila kitu ni ushirikina. So go on bro, I belive one day I will be able to open my powers. Thanx.
#The master.
Goodmorning...
Swali..
Ukiwa katikati ya meditation akatokea mtu ghafla akaanza kukusemesha vp unaweza kumsikia na kumjibu?
Je ukiwa umezama katika meditation unaweza kuingia na kutoka kwa muda unaotaka???
Ushauri..
Katika hiyo group ya whatsapp acha nafasi kama kumi ambazo wanaxhama ndio watawapendekeza watu wao.. hiyo itasaidia kupata watu serious.. maana kwenye msafara wa mamba na.........
Kuingia Ni Ngumu Kidogo Ndio Maana Unaona Wanafunzi Wengi Mpaka Leo Hajaingia.. Kutoka Ni Simple Sana Kuna Njia Nyingi.. Kubwa Ni Mbili 1: Kuimagine Mlango Mwekundu Ndio Exist.. 2: Kugonga Kidole...
Pendekezo Kuhusu Group: bado Contact Zinaingia P.m Zikistop Inamaana Group Itaanza Anaefanya Mistake Mara Tatu Basi Nafasi Yake Itachukuliwa Na Wageni P.m
#Rakims[/QUOTE
Sijakuelewa bado.
Vp ukiwa katikati ya meditation akatokea mtu akaanza kukusemesha unaweza kumsikia na kumjibu??????????
Kuingia Ni Ngumu Kidogo Ndio Maana Unaona Wanafunzi Wengi Mpaka Leo Hajaingia.. Kutoka Ni Simple Sana Kuna Njia Nyingi.. Kubwa Ni Mbili 1: Kuimagine Mlango Mwekundu Ndio Exist.. 2: Kugonga Kidole...
Pendekezo Kuhusu Group: bado Contact Zinaingia P.m Zikistop Inamaana Group Itaanza Anaefanya Mistake Mara Tatu Basi Nafasi Yake Itachukuliwa Na Wageni P.m
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Rakims]#Rakims [/URL][/QUOTE
Sijakuelewa bado.
Vp ukiwa katikati ya meditation akatokea mtu akaanza kukusemesha unaweza kumsikia na kumjibu??????????
Ndio Unamskia Lakini Kwa Sauti Inayojirudia Rudia...
#Rakims