Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Mkuu ninapokuwa kwenye meditation pose nikifanya meditation baada ya mda najihis kama nataka kuanguka alaf nashtuka ghafla hii hali inatokana na nin msaada mkuu.
 
Mkuu jitahidi ufaulu calmness kwanzo na uiweke vema root chakra,
 
asante mkuu, ila ni kidole gan kinachotumika kugonga wakat wa kutoka?
 
Hebu nifahamishe uvutaji wa bangi unahusiana na ku meditate mind,nauliza hivyo kwa kuwa kuna siku ilinikuta hiyo hali mkuu ya akili kuhama na kujiona naimba na malaika na kujihisi niko mbinguni......
 
Gumba na cha kati,
Je kufanya hivi hakukutoi kwenye dini yako?? Maana tumezoea kuona utamaduni huu ukifanywa na watu wenye asili ya ki asia ambao huamini ktk mungu asiyekuwa muumba.

Mfano mabudha, hinduism nk

Sasa mbongo akiingia kwenye hizo harakati naye awezi kuwa km ni muasi wa dini na imani yake??
 
Haihusiani na chochote kuhusu bange isipokua state of mind ya bange in drugs lakini meditation sio drug ila ni cure,
 
Hapana haimtoi MTU kwenye imani yake ila inamdhatiti kwenye imani yake wengine wakiwa highest state of meditation hujisema wanaongea na mungu Wa ote cause huoni kila aina ya miungu na mfano wenye power ya telepathy huaccess bongo za watu wawili watatu waliokaribu na kuona imani zao zipo wapi na sababu,

Rakims
 
Back
Top Bottom