chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kila zama na kitabu chake, hakuna lenye mwanzo lisilo mwisho. Hakika, kwa alama zote, ni suala la muda tu ufalme wa Haji Manara utafikia tamati, narudia, ni suala la muda tu.
Baada ya Ally Kamwe kutangaza kujiuzulu, wanayanga walijiapiza kwamba, kamwe Ally Kamwe hataondoka Yanga. Mwangwi huo ulifanya fitna za Haji Manara kumuondoa Ally Kamwe ugonge mwamba. Ndani ya masaa machache akarudishwa kwa kishindo.
Kwa nini wanazi hawakuridhika na Manara!? Ni zama zimekwisha? Je Manara kama mwana-dansi anatakiwa kujua muda wa kuondoka stejini ndio huu kabla hajachokwa na kuondoshwa kwa aibu?
Ally Kamwe ni titan wa wakati huu, Haji Manara ni wa zilipendwa, na tatizo amejijengea uadui kila kona.
Wakati ukuta
#GenerationKomasava