Mwanzoni unamtokea alikua anajifanya hawezi kufanya kitu gani sasa hivi amekuzoea anafanya mpaka unabaki mdomo wazi

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Hi?

Mwanzoni mwa mahusiano alikua hawezi hata kumaliza kuku robo lakini sasa anafanya league ya ujerumani mezani nikipinduka kidogo nikija kurudisha macho kwenye bakuli nakuta samaki kaisha raruliwa pande zote mbili au kama ni nyama nikizubaa naweza ambulia kipande kimoja kwanye bakuli hata hivyo hiyo league hua haiishiagi mezani tu hata kwenye sita kwa sita nako ni moto.
 
Huo uchoyo sasa mzee baba acha mtoto wa watu ale ashibe mbona mbususu anakupa yote..... Wanaume kwenye mambo ya msosi hatunaga nongwa
 
Mwache ale mzee Kwan vitu vidog Kam hivyo so shida wew ongez kutafta tu. Ale mpaka atumbue macho pambana kutimiza mahitaj y "home to the excess"
 
Eti bao moja tu lamchosha hataki tena

Leo hii sasa anakula tano nimemtimua maana unene nitaishia kuusikia kwa wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…