Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Hi?
Mwanzoni mwa mahusiano alikua hawezi hata kumaliza kuku robo lakini sasa anafanya league ya ujerumani mezani nikipinduka kidogo nikija kurudisha macho kwenye bakuli nakuta samaki kaisha raruliwa pande zote mbili au kama ni nyama nikizubaa naweza ambulia kipande kimoja kwanye bakuli hata hivyo hiyo league hua haiishiagi mezani tu hata kwenye sita kwa sita nako ni moto.