Mwarab fighter bodyguard wa Diamond ni mmojawapo wa wafanyakazi bora wa WCB.. anajua sana kutimiza majukumu

Mwarab fighter bodyguard wa Diamond ni mmojawapo wa wafanyakazi bora wa WCB.. anajua sana kutimiza majukumu

Lengo lilikuwa kuhabarisha kwamba ana kadegree na kazi hana, bora huyo mbeba vyuma asiye na degree anaingiza pesa kwa Diamond na shule hana.

Na bado Magufuli hata wazo la kutowa ajita ajira hana, nchi hii tutaendelea kutesa sisi form four graduate wale wa zamani ndio tulizaliwa na ubunifu.

Siyo hii mitoto ya sasa hasara tupu jitu mpaka linapata degree hata kitanda anacholalia hajui kukitandika asubuhi.
Mkuu, ajira zitatolewa mwaka 2019 na 2020 wakati tunaelekea kwenye yale mambo yetu yale. Na watanzania wasivyokua watu wa visasi watasahau na kusamehe yote.
 
Kama unachosifia ndio hicho kinachoonekana kwwnye video hauko sahahi, kwa nijuavyo huyo jamaa ni mlinzi lakini hapo anaonekana anabeba mizigo sidhani kama alikuwa makini na usalama wa bosi wake. Kilichotakiwa hapo hilo toroli la mizigo lisukumwe na mtu mwingine ili yeye awe makini na usalama wa mteja wake.
 
kwahiyo usingefanya hako kadigrii kako usingemuona?
La hasha, mazoezi alikua anafanya viwanja vya chuo pale na sio ubungo bus station, kariakoo shimoni, manzese darajani au uwanja wa taifa.

1) Bila haka kadegree sidhani kama ningepata nafasi ya kuja huko Dar kwanza kujumuika na mijianaume ya huko ningeendelea tuu kubaki mkoani kwetu kufanya mambo mengine kwa sababu siwezi kukaa kwa mashemeji.

2) kwa ambao walipata wasaa wa kupitapita pale UDSM nadhani wanajua mazingira halisi yalivyo pale, bila haka kadegree chances labda ningekua mtuu wa mazoezi kuhudhuria kule uwanjani au labda Kama ningeajiriwa Kama mkata nyasi kule viwanjani.

3) Pia mara hizo chache nilizokua namuona huyo bwana, ni vile tuu nilikua na vipindi vya jioni vya workshop, workshops ambazo zipo jirani kabisa na uwanja kwa hiyo baada ya kipindi nilikua natelemka zangu uwanjani kuangalia misambwanda ya wamama na wadada wanaofanya mazoezi ndio nilikua namuona huyo jibaba labda ningekua natumia mdaa wangu college nyengine huenda nisingemuona huyo mtuu.

Nadhani tumeelewana mkuu, siku njema mungu akubaliki Sana.
 
Lengo lilikuwa kuhabarisha kwamba ana kadegree na kazi hana, bora huyo mbeba vyuma asiye na degree anaingiza pesa kwa Diamond na shule hana.

Na bado Magufuli hata wazo la kutowa ajita ajira hana, nchi hii tutaendelea kutesa sisi form four graduate wale wa zamani ndio tulizaliwa na ubunifu.

Siyo hii mitoto ya sasa hasara tupu jitu mpaka linapata degree hata kitanda anacholalia hajui kukitandika asubuhi.
Niliajiriwa mkuu kabla hata sijamaliza research yangu ya kuhitimisha masomo mwaka wa nne kutokana na uchapakazi wangu mzuri kipindi nipo nafanya field yangu ya mwaka wa 3 hivi sasa nakuandikia hivi kampuni yetu ipo huku mtwara sehemu moja inaitwa NTAKA Kama sijakosea, tunafanya kautafti kidogo.

Kwa hiyo kuhitimu kwangu chuo kulikuja na kheri sana kutokana na Kupata nafasi Kama sehemu tatu au nne za kwenda kufanya kazi ila nilichagua hapa nilipo hizo sehemu nyengine walichukua wahitimu wenzangu wa darasa moja ambao wanaendelea kufanya vizuri pia namshukuru Sana mungu darasa letu tulikua smart karibia wote mpaka mdaa huu tunakazi za kufanya.

Allhamdulilah.
 
La hasha, mazoezi alikua anafanya viwanja vya chuo pale na sio ubungo bus station, kariakoo shimoni, manzese darajani au uwanja wa taifa.

1) Bila haka kadegree sidhani kama ningepata nafasi ya kuja huko Dar kwanza kujumuika na mijianaume ya huko ningeendelea tuu kubaki mkoani kwetu kufanya mambo mengine kwa sababu siwezi kukaa kwa mashemeji.

2) kwa ambao walipata wasaa wa kupitapita pale UDSM nadhani wanajua mazingira halisi yalivyo pale, bila haka kadegree chances labda ningekua mtuu wa mazoezi kuhudhuria kule uwanjani au labda Kama ningeajiriwa Kama mkata nyasi kule viwanjani.

3) Pia mara hizo chache nilizokua namuona huyo bwana, ni vile tuu nilikua na vipindi vya jioni vya workshop, workshops ambazo zipo jirani kabisa na uwanja kwa hiyo baada ya kipindi nilikua natelemka zangu uwanjani kuangalia misambwanda ya wamama na wadada wanaofanya mazoezi ndio nilikua namuona huyo jibaba labda ningekua natumia mdaa wangu college nyengine huenda nisingemuona huyo mtuu.

Nadhani tumeelewana mkuu, siku njema mungu akubaliki Sana.
akubaliki?
miaka4 udsm? kaz ipo .
 
akubaliki?
miaka4 udsm? kaz ipo .
"Akubariki" nashukuru kwa kunirekebisha, hata hivyo matumizi ya R na L ni janga kubwa sana wengi wetu ni wahanga wa matumizi ya hayo maneno unaweza fungua darasa la kiswahili kutoa somo au ukaanzisha thread humu pia kufundisha matumizi ya R na L au andaa kipindi cha radio ikibidi.

Mathalani sidhani kwamba hapo ndipo sehemu pekee nimekosea unaweza kuendelea kuscan makosa zaidi.

Una Jambo lengine mkuu....?
Nikujuze kabisa kuhusiana na historia yangu ya elimu ikibidi nikushushie hapa hapa na nikueleze pia jinsi nilivyokuja Dar kuchukua degree yangu ya Engineering mpaka nilivyohitimu.
 
Hapana nimesoma Engineering mkuu na niliajiriwa kabla sijamaliza chuo kutokana na uwezo wangu wa kutenda kazi kipindi nipo field saa hivi natarajia kurudi kufanya masters yangu mwakani au 2019,niombee mungu anipe afya na pumzi tuu.
Ok sawa ntakuombea,sasa ebu niambie,Jee usingesoma hiyo digree ungemuona huyo bordygud Mondy kweli?
 
DUH TUMELOGWA NINI MBONA WASHAURI WAMEKUWA WENGI! KAMA ANGEKUWA ANALIPWA MSHAHARA KIDOGO ANGEKUWA BADO ANAFANYA KAZI.
 
Yani ninavyopenda kucheka kwa vitu simple kuna kazi kamwe sitakaa niziweze
 
TAZAMA Mwenyewe Zari The Boss Lady Ilivyokuwa Shangwe katika uzinduzi wa Mall | Dar Es Salaam
 
Back
Top Bottom