Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Mkuu, ajira zitatolewa mwaka 2019 na 2020 wakati tunaelekea kwenye yale mambo yetu yale. Na watanzania wasivyokua watu wa visasi watasahau na kusamehe yote.Lengo lilikuwa kuhabarisha kwamba ana kadegree na kazi hana, bora huyo mbeba vyuma asiye na degree anaingiza pesa kwa Diamond na shule hana.
Na bado Magufuli hata wazo la kutowa ajita ajira hana, nchi hii tutaendelea kutesa sisi form four graduate wale wa zamani ndio tulizaliwa na ubunifu.
Siyo hii mitoto ya sasa hasara tupu jitu mpaka linapata degree hata kitanda anacholalia hajui kukitandika asubuhi.
La hasha, mazoezi alikua anafanya viwanja vya chuo pale na sio ubungo bus station, kariakoo shimoni, manzese darajani au uwanja wa taifa.kwahiyo usingefanya hako kadigrii kako usingemuona?
Ka digree kenyewe ka education.kwahiyo usingefanya hako kadigrii kako usingemuona?
Niliajiriwa mkuu kabla hata sijamaliza research yangu ya kuhitimisha masomo mwaka wa nne kutokana na uchapakazi wangu mzuri kipindi nipo nafanya field yangu ya mwaka wa 3 hivi sasa nakuandikia hivi kampuni yetu ipo huku mtwara sehemu moja inaitwa NTAKA Kama sijakosea, tunafanya kautafti kidogo.Lengo lilikuwa kuhabarisha kwamba ana kadegree na kazi hana, bora huyo mbeba vyuma asiye na degree anaingiza pesa kwa Diamond na shule hana.
Na bado Magufuli hata wazo la kutowa ajita ajira hana, nchi hii tutaendelea kutesa sisi form four graduate wale wa zamani ndio tulizaliwa na ubunifu.
Siyo hii mitoto ya sasa hasara tupu jitu mpaka linapata degree hata kitanda anacholalia hajui kukitandika asubuhi.
Hapana nimesoma Engineering mkuu na niliajiriwa kabla sijamaliza chuo kutokana na uwezo wangu wa kutenda kazi kipindi nipo field saa hivi natarajia kurudi kufanya masters yangu mwakani au 2019,niombee mungu anipe afya na pumzi tuu.Ka digree kenyewe ka education.
akubaliki?La hasha, mazoezi alikua anafanya viwanja vya chuo pale na sio ubungo bus station, kariakoo shimoni, manzese darajani au uwanja wa taifa.
1) Bila haka kadegree sidhani kama ningepata nafasi ya kuja huko Dar kwanza kujumuika na mijianaume ya huko ningeendelea tuu kubaki mkoani kwetu kufanya mambo mengine kwa sababu siwezi kukaa kwa mashemeji.
2) kwa ambao walipata wasaa wa kupitapita pale UDSM nadhani wanajua mazingira halisi yalivyo pale, bila haka kadegree chances labda ningekua mtuu wa mazoezi kuhudhuria kule uwanjani au labda Kama ningeajiriwa Kama mkata nyasi kule viwanjani.
3) Pia mara hizo chache nilizokua namuona huyo bwana, ni vile tuu nilikua na vipindi vya jioni vya workshop, workshops ambazo zipo jirani kabisa na uwanja kwa hiyo baada ya kipindi nilikua natelemka zangu uwanjani kuangalia misambwanda ya wamama na wadada wanaofanya mazoezi ndio nilikua namuona huyo jibaba labda ningekua natumia mdaa wangu college nyengine huenda nisingemuona huyo mtuu.
Nadhani tumeelewana mkuu, siku njema mungu akubaliki Sana.
"Akubariki" nashukuru kwa kunirekebisha, hata hivyo matumizi ya R na L ni janga kubwa sana wengi wetu ni wahanga wa matumizi ya hayo maneno unaweza fungua darasa la kiswahili kutoa somo au ukaanzisha thread humu pia kufundisha matumizi ya R na L au andaa kipindi cha radio ikibidi.akubaliki?
miaka4 udsm? kaz ipo .
Ok sawa ntakuombea,sasa ebu niambie,Jee usingesoma hiyo digree ungemuona huyo bordygud Mondy kweli?Hapana nimesoma Engineering mkuu na niliajiriwa kabla sijamaliza chuo kutokana na uwezo wangu wa kutenda kazi kipindi nipo field saa hivi natarajia kurudi kufanya masters yangu mwakani au 2019,niombee mungu anipe afya na pumzi tuu.
Bila haka kadegree huenda mpaka leo ningekua sijawahi kukanyaga Dar kabisa.Ok sawa ntakuombea,sasa ebu niambie,Jee usingesoma hiyo digree ungemuona huyo bordygud Mondy kweli?
wakurya ndo bata gani mbele ya martial arts......Unawaongelea hawa wakurya wanaopiga na kuonyesha ubabe wao kwa wanawake? Hawa ambao wakikataliwa kimapenzi siku hizi wanakimbilia kujiua?
Ok,kwahiyo unamaanisha kwamba serikali ya CCM inakongo nyoyo za wananchi wake hasa wananchi masikini?Bila haka kadegree huenda mpaka leo ningekua sijawahi kukanyaga Dar kabisa.