Mwarab fighter bodyguard wa Diamond ni mmojawapo wa wafanyakazi bora wa WCB.. anajua sana kutimiza majukumu

Asante sana mkuu. Tupo pamoja.
 
Ana Kazi / Jukumu kubwa kuliko hilo unalolijua na hasa la kuwa mbeba ' Hirizi ' mkubwa na wa Kutukuka wa Ndomo Dimonde.
We jamaa una roho ya kazopata kishenzi,.piga ua utakuwa na chembechembe za uchawi.
 
Kote huko ulikuwa unazunguka Hilo la ukakasi ndio zumuni lako ujumbe umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…