Mwarabu Fighter naye ameanza kujiposti na hela

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Yani wabongo bana wakishakamata vijichenji kidogo fujooo na kuanza kuringishia.

Aliyekuwa mpambe/mlinzi ama bodyguard wa msanii maarufu nchini Diamond jitu lenye miraba minne Mwarabu fighter naye ameanza kujianika kwenye mitandao ya kijamii na maburungutu ya pesa.

Katika ukurasa wake wa Instagram Mwamba huyo anaonekana akiendesha gari huku akiwa ameweka pembeni kibunda kilichoshen msimbazi za kutosha. Isitoshe pia anaturingishia saa ya dhahabu.

Issa Tambuu bilionea mstaarabu naye Dotto magari alishaanza kumponza akaanza hii tabia mbofumbofu ya kujianika na pesa mtandaoni.

Watu tulisikitika sana kwasababu jamaa ni mtu wa ibada kwanini akufuru? Lakini kutokana na uungwana wake akaomba msamaha na nakuahidi hatarudi tena na kujitetea eti alikuwa anafanya hivyo kuwapa uaminifu wateja wake likija swala zima la pesa.
Tumemsamehe huyu kijana wetu wa Allah mstaarabu Issa.

Ila wabongo ni waajabu wamemuambukiza hadi huyu Mzungu. Wazungu wengi hawanaga hii tabia lakini jamaa huyu Mzungu kaishi na kujichanganya na sisi mibongo na kuambukizwa hii Tabia mbofumbofu. Hapa kwenye ukurasa wake wa FB akijianika na burungutu ya USD.











 

Attachments

  • 20240802_095908.jpg
    130.8 KB · Views: 5
  • 20240802_095843.jpg
    114.5 KB · Views: 4
Umaskin nchi hii una athiri mpaka saikolojia za watu, fanyeni kazi
 
Imamu hussein alikuwa tajiri mbona hakujiposti...au kulikuwa hamna mitandao?ety kiongozi
Asee nilishasahau umenikumbusha. Ngoja nikajifungie nilieeeeee.

Yani kipenzi chetu cha dhati ndiye amefanya leo tumepewa Tawfiq tunauhakika wa jannah na firdaus.

Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein.

 
Kiongozi umeshaanza kuzingua....kumbe mpaka sasahivi bado ujalia ama kweli tumeanza kumsahau kipenzi chetu
 
Kiongozi umeshaanza kuzingua....kumbe mpaka sasahivi bado ujalia ama kweli tumeanza kumsahau kipenzi chetu
Mkuu usifanye mchezo na Tawfiq. Kipenzi chetu alipambana sana leo tumeipata. Walimshindilia mishale ya kutosha mwamba hadi tone la mwisho.


Leo hii tuna uhakika wa jannah na firdaus kwa ajili yake. Hiyo hapo chini ni seal ya kipenzi chetu chetu. Kila nyumba ya Shia imening'inizwa ukutani.

Ndo maana siku ya Ashura tunavaa nyeusi nakujikatakata nakutokwa na damu tukimuenz kipenzi chetu cha dhati imam Hussein Allah amfanyie wepes na aendelee kumpa qauli thabeet.

 
Ndiyo nin hiki..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…