Mwarabu hakuwahi kuweka National Park Tanzania, kwa nini?

Walikuwepo miaka yote, walieneza Dini ya Uislamu na utamaduni wao ndicho pekee walichoacha, lakini kwa nini hawakuwahi kuunda National Park ?
Walikuwa wanapendelea kuua tembo na vifaru ili wapate pembe kwa ajili ya kutengenezea mikono ya majambia ambayo yalionesha utukufu(heshima) kwa wamiliki.
 
Mara nyingine ni vizuri kukaa kimya na kuficha ujinga ulionao kichwani mwako.
Ni lini mwarabu alitawala nchi hii? Ukijibu swali hilo ndio ujue hifadhi za taifa kisheria zilianza kutengwa rasmi lini, lakini itoshe tu kusema tuna watu wana akili kisoda za kuwawezesha kuvuka tu barabara.
 
Kabla ya ukoloni wa wazungu Mwarabu alitawala Zanzibar na Pwani ya Mashariki kuanzia Sofala ya Msumbiji hadi Kismayu Somalia

Pia alikuwa akifika hadi Congo kuchukua Watumwa na pembe za ndovu, na akikuwa na vituo vya biashara huko Tabora na Kigoma

Kasome Historia
 
Walikuwepo miaka yote, walieneza Dini ya Uislamu na utamaduni wao ndicho pekee walichoacha, lakini kwa nini hawakuwahi kuunda National Park ?
Kumbuka Mwarabu alifika ardhi yetu ikiwa bikra, yani ilikuwa ni misitu na wanyama tu, unaambiwa enzi hizo msitu ulikuwapo hadi hapo kisutu, yani simba walikuwa wapo hadi magomeni, chui wapo hadi kigamboni, papa wapo hadi fukwe za mbezi beach, chatu wapo hadi Msasani, sasa kwa msingi huo national park za nini na ilibidi ardhi itumike kufanya mazingira bora ya kuishi, kumbuka binadamu sio mnyama pori.
 
Mazingira gani bora ya kuishi unayoyaongelea alioweka Mwarabu? Alijenga reli, barabara au hata maji ya bomba, reli au barabara ?
 
Umetumia jina bandia lkn bado unaogopa kufunguka ,plz kuwa mpnz msomaji tu
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Miongoni mwa Mambo natamani yafutwe kwenye elimu yetu ni kusoma historia za kikoloni, sijui tulitawaliwa na nan, hii mentality inaenda vizazi na vizazi na ndio maana tunaendelea kuwanyenyekea wakoloni walewale
 
Walikuwepo miaka yote, walieneza Dini ya Uislamu na utamaduni wao ndicho pekee walichoacha, lakini kwa nini hawakuwahi kuunda National Park ?
Mwarabu hajawahi kutawala Tanganyika.Mtawala wa kwanza wa Tanganyika ni mjerumani,mjerumani akamwachia mngereza,kutawala.Hivi huko shule ulikwenda somea nini?Ambapo hujui,hata watawala waliotawala Tanganyika.
 
Back
Top Bottom