Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh.
Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana.
Vipi wakuu bado huu mmea bado unatibu ?
Ilikuwa malaria ya zamani
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh.
Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana.
Vipi wakuu bado huu mmea bado unatibu ?
Malaria ya iku hizi imechanganyika na udijitali haitoki hata kwa mwarobaini
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh.
Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana.
Vipi wakuu bado huu mmea bado unatibu ?
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh.
Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana.
Vipi wakuu bado huu mmea bado unatibu ?
unakamua kwa uwezo tu yaani ni uwezo wako wa kukamua tu, unaweza ukanywa hata bakuli fresh tu...Mkuu hao waliokuambia ugonge Mwarobaini walikuambia pia jinsi ya kutayarisha dozi sahihi?!
Kwa sababu hata kama dawa ina uwezo wa kutibu bila kutumia dozi sahihi tatizo linaweza lisiishe.
unakamua kwa uwezo tu yaani ni uwezo wako wa kukamua tu, unaweza ukanywa hata bakuli fresh tu...