Mwarobaini bado unatibu Malaria?

Mwarobaini bado unatibu Malaria?

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh.

Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana.

Vipi wakuu bado huu mmea bado unatibu ?
 
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh.

Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana.

Vipi wakuu bado huu mmea bado unatibu ?

Malaria ya iku hizi imechanganyika na udijitali haitoki hata kwa mwarobaini
 
Malaria ya iku hizi imechanganyika na udijitali haitoki hata kwa mwarobaini

Sasa mbona haisikii hata ya hospitali.

Ngoja npge tena nusu kikombe then niingie mzigoni.
 
Muulize yeyote anayetumia mwarobaini kama kweli anaugua ugua ovyo, mwarobaini zipo za feki na za ukweli, fake ni ile ukiitumia alafu haijakusaidia ujue hiyo siyo...ya ukweli ukiinywa badaa ya muda kadhaa(masaa kadhaa unaanza kujisikia nafuu nafuu na mdomo kuwa mchungu na unajisikia mwili unakuwa mwepesi ujue hiyo ndo dawa

Ukumbuke mti uliouchuma mwarobaini siku ukiihitajki chuma mti hu huo usiende kuchuma kutoka kwenye mti mwingine...
 
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh.

Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana.

Vipi wakuu bado huu mmea bado unatibu ?

mkuu heshima kwako kwanza.
mi nilikuwa naugua malaria kila mwezi hata mara mbili lakini sasa imekoma kabisa japo naumwa na mbu daily.
_Nilianza dozi ya kunywa maji nusu lita au zaidi kila siku alfajiri kabla ya kuswaki nina miezi sasa
_malaria hakuna
_kujamba kitu kinachonuka hakuna
_mdomo kutoa harufu hakuna
_mafua,kikohozi hakuna
_jaribu uone maajabu ya maji alafu uje unipe feedback huwa sibanduki jf!!
 
Nimekusoma #Marire ,yaani wiki ya pili dompo haijapigwa wala papuchi sijaonja!

Nimegonga ile jana mwaru40 kidogo kaunafuu kanakuja.
 
Metakeflini bado haiondoi malaria yangu so jana nikaambiwa nigonge mwarubainh.

Usiku nkagonga na leo nataka nipige tena kama nusu kikombe ingawa ni chungu sana.

Vipi wakuu bado huu mmea bado unatibu ?

Mkuu hao waliokuambia ugonge Mwarobaini walikuambia pia jinsi ya kutayarisha dozi sahihi?!

Kwa sababu hata kama dawa ina uwezo wa kutibu bila kutumia dozi sahihi tatizo linaweza lisiishe.
 
Mkuu hao waliokuambia ugonge Mwarobaini walikuambia pia jinsi ya kutayarisha dozi sahihi?!

Kwa sababu hata kama dawa ina uwezo wa kutibu bila kutumia dozi sahihi tatizo linaweza lisiishe.
unakamua kwa uwezo tu yaani ni uwezo wako wa kukamua tu, unaweza ukanywa hata bakuli fresh tu...
 
unakamua kwa uwezo tu yaani ni uwezo wako wa kukamua tu, unaweza ukanywa hata bakuli fresh tu...

Mkuu mbona jibu lako ni kinyume na kaulimbiu yako; "No Data No Research No Right to Talk"?!...

Nilitegemea jibu mfano: unachukua majani x gm, unachanganya na maji y lt, unachemsha kwa z minutes, then baada ya kupoa unakunywa n mls, mara m times kwa siku kwa k days.

Hii dozi yako ya kujiamulia tu inaweza sababisha madhara mtu akinywa tu kiasi anachoamua!
 
Back
Top Bottom