PostGE2025 Mwasema tuheshimu viapo vyetu vya jeshi. Nyie mliheshimu vyenu

PostGE2025 Mwasema tuheshimu viapo vyetu vya jeshi. Nyie mliheshimu vyenu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mmesaliti wananchi mwategemea tusiwasaliti. Nye hamnazo walahi. Mwatoa mawaidha tuheshimu viapo nye mwaheshimu vyenyu? Mwatuona punguani sivyo. Heee! Siye punguani wenye akili Nye. Msaliti Nchi mwategemea uaminifu wetu heheh! Dawa i jikoni. Walahi haichekeshi. Na bado
Mkuu bado hujakabidhi simu mapokezi? Endelea kutupa ndo ndo ndo si chururu
 
Mmesaliti wananchi mwategemea tusiwasaliti. Nye hamnazo walahi. Mwatoa mawaidha tuheshimu viapo nye mwaheshimu vyenyu? Mwatuona punguani sivyo. Heee! Siye punguani wenye akili Nye. Msaliti Nchi mwategemea uaminifu wetu heheh! Dawa i jikoni. Walahi haichekeshi. Na bado
vyenyu ,we mkenya wewe tushajua utapatikana tu.
 
Dada Mange alisema baadhi ya wanajeshi wetu wamekuwa depressed and suicidal. It is not easy for those standing with justice. May the throne of justice give you strength!
 
Kiapo cha wanajeshi kibadilishwe, wawe wanaapa kumtii rais halali "aliyewekwa kwa mujibu wa sheria", na maneno ya "kutii amri halali"zilizowekwa kwa mujibu wa sheria yaongezwe kwenye kiapo. Siyo kulinda rais haramu aliyejipachika mwenyewe au kutii amri haramu kama ya kuua wananchi wasio na hatia!
 
Mmesaliti wananchi mwategemea tusiwasaliti. Nye hamnazo walahi. Mwatoa mawaidha tuheshimu viapo nyie mwaheshimu vyenu? Mwatuona punguani sivyo. Heee! Siye punguani wenye akili Nyie. Msaliti Nchi mwategemea uaminifu wetu heheh! Dawa i jikoni. Walahi haichekeshi. Na bado
Watakula walipopeleka mboga
 
Back
Top Bottom