Biashara Mtaji
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 324
- 288
We mjamaa wewe duuuuu nacheka hapa mpaka simu nimeweka chiniMimi ningekuwa mwanamke na nikihongwa gari mda huo huo nalipeleka Temeke kulikata kata! nauza spear!
Umesemaaaa, hebu rudia, mtandao unasumbua.kwel mapenz sio sura Mtu anakatikiwa paka anatoa benz duh wakat kna kdot ata vitz tu hawajapew
Ulimfuata baada ya kuambiwa ni fundi wa uroda au alikuvutia?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji23]Mkuu usiseme hivyo mdogo wangu,, hivi vimama vyenye sura mbaya hivi huwa vina mambo mkuu asikwambie mtu! Huwa vinanyonya mpaka maviiiiiiiiiii!! Unaweza kuagiza wauze nyumba wakutumie hela kwenye m-pesa mkuu!!
Mzaramo hivi ni kuonga au KUHONGA mapenzi kudungunyuka raha sio suraItakuwa alimpiga ndele mwenzake si unajua mtu wa kigoma yule binamu.Maana kwa akili ya kawaida kabisa unaanzaje kuonga gari Mwasiti?!
UtaNikihongwa gari nakiuza chaap nanunua lingine, hata viwanja uza ukanunue kwingine nikujiongeza tu.
Utauza gari bila kadi?!Nikihongwa gari nakiuza chaap nanunua lingine, hata viwanja uza ukanunue kwingine nikujiongeza tu.
Labda mikoan....huku mjini mwanamke sura na chura hayo mambo ya kudungunyuka hayapo kwenye sifa kuu za mwanamke.Mzaramo hivi ni kuonga au KUHONGA mapenzi kudungunyuka raha sio sura
Uta
Utauza gari bila kadi?!
[emoji45] [emoji45] [emoji45]Mimi ningekuwa mwanamke na nikihongwa gari mda huo huo nalipeleka Temeke kulikata kata! nauza spear!
uzuri sio sura tu, halafu kusema mwasiti hastahili kuhongwa gari ni matusi makubwa sanaMimi nashamgaa mtaani kuna mademu wakali wao wanahangaika na masupa stat tu !
Wakati huo unajiandaa kupelekwa unapostahiliMimi ningekuwa mwanamke na nikihongwa gari mda huo huo nalipeleka Temeke kulikata kata! nauza spear!