Mwasiti anyang'anywa Benzi alilokuwa akiendesha, mwenyewe azungumza

Mwasiti anyang'anywa Benzi alilokuwa akiendesha, mwenyewe azungumza

Mimi ningekuwa mwanamke na nikihongwa gari mda huo huo nalipeleka Temeke kulikata kata! nauza spear!
We mjamaa wewe duuuuu nacheka hapa mpaka simu nimeweka chini
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ulimfuata baada ya kuambiwa ni fundi wa uroda au alikuvutia?

Tulikuwa tunakaa mtaa mmoja nyumba zetu zinatazamana. Siku moja nilikuwa nina hamu ya MAKU nikasema ngoja nipige huyu jirani yangu kwani mimi si natoa hamu tu. Looh nikakuta maufundi ya sayari nyingine kabisa....
 
Mkuu usiseme hivyo mdogo wangu,, hivi vimama vyenye sura mbaya hivi huwa vina mambo mkuu asikwambie mtu! Huwa vinanyonya mpaka maviiiiiiiiiii!! Unaweza kuagiza wauze nyumba wakutumie hela kwenye m-pesa mkuu!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji23]
 
Dah
mwasiti.jpg
 
Nikihongwa gari nakiuza chaap nanunua lingine, hata viwanja uza ukanunue kwingine nikujiongeza tu.
 
Mimi nimewahi kujiuliza hivi uzuri ni nini? maana waweza kwenda kiwanja/Bar ukakutana na Bidada Muuza Bar amekamilika kila idara...sio sura, umbo, guu guu, sauti ya kumtoa Nyoka alipo....mpaka unajaribu kuhisi au labda kasoro yake ipo kwenye viungo vya ndani?...kwenye kongosho, au figo, au large intestine, au mapafu, au kidole tumbo, au skeleton.

Na naamini asilimia tisini ya Wanywaji wanaofika pale hujiuliza maswali mengi sana...haswa wakilinganisha na Mke aliyemuacha home.

Ili kufupisha stori basi mimi huwa najikumbusha usemi wa 'Mtu chake apendacho hakina hila machoni'
 
Itakuwa alimpiga ndele mwenzake si unajua mtu wa kigoma yule binamu.Maana kwa akili ya kawaida kabisa unaanzaje kuonga gari Mwasiti?!
Mzaramo hivi ni kuonga au KUHONGA mapenzi kudungunyuka raha sio sura
 
Mjini kuna gari za kuhonga kina vits, ist, passo, sienta lakini sio mshipa wa kijerumani Benz......yeye angejiongeza kuwa hiyo kakodishwa sio kupewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona ameongelea kwenye utani?post nyingine mazeee za ajabu kweelii kweelii
 
Vitu vyenye majina ya benz vina matatizo ukiwa navyo chid benz nae ni tatizo
 
Back
Top Bottom