A
Anonymous
Guest
Hakuna kitu kinakera watu kama kupita sehemu na kukutana na harufu kali ya maji machafu, iwe kwenye shimo, mtaro au darajani.
Hapa Mwanza, Mamlaka ya Maji Taka mmekuwa na utamaduni mbaya sana wa kuruhusu maji machafu pembezoni mwa ofisi yenu kupitia mkondo wa mto Mirongo kuelekea ziwa Victoria.
Kuna harufu kali sana haswa nyakati za jioni!