KERO MWAUWASA acheni kuruhusu maji machafu kwenye mto Mirongo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hakuna kitu kinakera watu kama kupita sehemu na kukutana na harufu kali ya maji machafu, iwe kwenye shimo, mtaro au darajani.

Hapa Mwanza, Mamlaka ya Maji Taka mmekuwa na utamaduni mbaya sana wa kuruhusu maji machafu pembezoni mwa ofisi yenu kupitia mkondo wa mto Mirongo kuelekea ziwa Victoria.

Kuna harufu kali sana haswa nyakati za jioni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…