Toka mmetoa hilo tangazo zaidi ya wiki 2 zilizopita, Kuna maeneo ya Jiji la Mwanza maji hayajawahi kutoka kabisa hata tone.
Hivi kweli tumefika Huku? mnategemea watu wanaishije mjini tena bila maji?
Inachukua muda gani kutengeneza Pampu ya maji? Kwenu hii sio dharura?
Nadhani mnahitaji kustuliwa kidogo muamke