Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ondoweni siasa kwenye mambo muhimu nyie MWAWASA, mpaka leo maeneo ya Nyegezi Buhongwa nyabazobe ya chini hamna maji yanatoka tu usiku tena masaa na kukataa cheni uhuni.Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuhusu changamoto ya huduma ya maji Jijini Mwanza, mamlaka inayohusika imetoa ufafanuzi.
Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif amesema:
Kuhusu changamoto ya maji inawezekana kwake Mdau ndio kuna changamoto, sio kweli kuwa kuna uhaba wa maji.
Kilichofanyika maeneo hayo kulikuwa na maboresho ya miundombinu katika maeneo ambayo ameyataja.
Tulifunga maji na tunapofanya hivyo kuwa kunakuwa na njia mbadala kwa ajili ya kufikisha huduma ili kuhakikisha Wateja wetu hawapati athari, tulifunga njia moja tukafungua njia nyingine.
Bahati mbaya tulipofungua line ya awali ikaonekana kuna sehemu inavuja, ikabidi tufunge ten ana kurekebisha.
Tunaomba mteja yeyote ambaye hadi sasa hudum haijarejea kwake awasiliane na sisi kwa kuwa huduma za maji zinapatikana sehemu zote.
Wanapowasiliana na sisi tunafika kwa haraka, kuna baadhi ya Wateja ambao Mita zao zinakuwa ndani ya mageti na inakuwa ngumu kufikika kama wao hawapo, lakini huduma zinaendelea kama kawaida.
Eneo la kishiri ni tatizo sugu ambalo binafsi ni shahidi. Maji yamevutwa tangu 2020, lakini kama walibahatika kuyatumia haizidi lita 10,000 hadi kufikia 2023 ikabidi tu hata bili ile service charge ya mwezi isilipwe. Eti wakaja kufunga bomb kuu la maji home. Nikawauliza, hapa mmetukatia maji au mmezuia upepo kusukuma mita na kuonekana maji yalitoka? Wakakosa jibu wakaondoka. Hatukuwahi lipia tena wala kuwa na hamu ya maji ya bombaBaada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuhusu changamoto ya huduma ya maji Jijini Mwanza, mamlaka inayohusika imetoa ufafanuzi.
Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif amesema:
Kuhusu changamoto ya maji inawezekana kwake Mdau ndio kuna changamoto, sio kweli kuwa kuna uhaba wa maji.
Kilichofanyika maeneo hayo kulikuwa na maboresho ya miundombinu katika maeneo ambayo ameyataja.
Tulifunga maji na tunapofanya hivyo kuwa kunakuwa na njia mbadala kwa ajili ya kufikisha huduma ili kuhakikisha Wateja wetu hawapati athari, tulifunga njia moja tukafungua njia nyingine.
Bahati mbaya tulipofungua line ya awali ikaonekana kuna sehemu inavuja, ikabidi tufunge ten ana kurekebisha.
Tunaomba mteja yeyote ambaye hadi sasa hudum haijarejea kwake awasiliane na sisi kwa kuwa huduma za maji zinapatikana sehemu zote.
Wanapowasiliana na sisi tunafika kwa haraka, kuna baadhi ya Wateja ambao Mita zao zinakuwa ndani ya mageti na inakuwa ngumu kufikika kama wao hawapo, lakini huduma zinaendelea kama kawaida.
Huyu ni mpumbavu kama wapumbavu wenzake hao wanajiita customer care , watu tuna zaidi ya siku 3 maji hamna huku ,halafu anaongea upumbavu gani huyu zezeta ?Baada ya hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuhusu changamoto ya huduma ya maji Jijini Mwanza, mamlaka inayohusika imetoa ufafanuzi.
Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Tatizo sugu la Maji jijini Mwanza
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano kwa Umma wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA), Mohamed Saif amesema:
Kuhusu changamoto ya maji inawezekana kwake Mdau ndio kuna changamoto, sio kweli kuwa kuna uhaba wa maji.
Kilichofanyika maeneo hayo kulikuwa na maboresho ya miundombinu katika maeneo ambayo ameyataja.
Tulifunga maji na tunapofanya hivyo kuwa kunakuwa na njia mbadala kwa ajili ya kufikisha huduma ili kuhakikisha Wateja wetu hawapati athari, tulifunga njia moja tukafungua njia nyingine.
Bahati mbaya tulipofungua line ya awali ikaonekana kuna sehemu inavuja, ikabidi tufunge ten ana kurekebisha.
Tunaomba mteja yeyote ambaye hadi sasa hudum haijarejea kwake awasiliane na sisi kwa kuwa huduma za maji zinapatikana sehemu zote.
Wanapowasiliana na sisi tunafika kwa haraka, kuna baadhi ya Wateja ambao Mita zao zinakuwa ndani ya mageti na inakuwa ngumu kufikika kama wao hawapo, lakini huduma zinaendelea kama kawaida.
Wapuuzi sana , kumbe na wewe ni jirani yangu kabisa Buswelu ?Waambie wapuuzi wanaoishi buseru shida ya mgao Kila kukicha
umenena. ukimani kuna jambo basi la kujivunia? mambo yanajiendea kama kichwa cha mwendawazimu kwenye kila kitu. arabuni nilipo maji ya kumwaga na hawana vyanzo. desalination maji ya bahari yanaleta tija. serikali ingeondoa monopoly waje wawekezaji wawekeze iwe hiari ya mtu kuchagua supplier.Inatakiwa watu watatu wakilalamika matatizo ya maji baada ya ujumbe wao huo wa kijinga basi menejimenti yote ipigwe chini.
Inashangaza kwenye chanzo cha maji kikubwa kabisa Afrika kukosekana maji au kuwe hata na mteja mmoja wa kulalamika.
Nawashauri menejimenti yote huko waondolewe na wapigwe risasi hadharani.
Kwani huko "arabuni" ulipo kuna "suppliers" wangapi?umenena. ukimani kuna jambo basi la kujivunia? mambo yanajiendea kama kichwa cha mwendawazimu kwenye kila kitu. arabuni nilipo maji ya kumwaga na hawana vyanzo. desalination maji ya bahari yanaleta tija. serikali ingeondoa monopoly waje wawekezaji wawekeze iwe hiari ya mtu kuchagua supplier.
Leo chura kiziwi kasikia japo kwa shida kumshida Mc baba wa kongoInatakiwa watu watatu wakilalamika matatizo ya maji baada ya ujumbe wao huo wa kijinga basi menejimenti yote ipigwe chini.
Inashangaza kwenye chanzo cha maji kikubwa kabisa Afrika kukosekana maji au kuwe hata na mteja mmoja wa kulalamika.
Nawashauri menejimenti yote huko waondolewe na wapigwe risasi hadharani.
Ni aibu sana kwa mambo ya ovyo wanayofanya hawa jamaaInatakiwa watu watatu wakilalamika matatizo ya maji baada ya ujumbe wao huo wa kijinga basi menejimenti yote ipigwe chini.
Inashangaza kwenye chanzo cha maji kikubwa kabisa Afrika kukosekana maji au kuwe hata na mteja mmoja wa kulalamika.
Nawashauri menejimenti yote huko waondolewe na wapigwe risasi hadharani.
Serikali inatakiwa isitishe kutowaa huduma zote, haiwezi. Serikali ibaki kuwa "facilitators" tu. Ndipo itakapokuwa na kauli ya kuweza kukemea madudu.Ni aibu sana kwa mambo ya ovyo wanayofanya hawa jamaa