MWAUWASA wako baridi wako moto?

MWAUWASA wako baridi wako moto?

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Habari wanajanvi, Mimi ufanya shughuli zangu za umechinga japo ni msomi mwenye shahada ya ualimu.

Shughuli yangu unifanya kuzunguka huku na kule nikitafuta riziki ni zaidi ya miaka mitatu sasa sijawahi kuona mamlaka ya maji Mwanza wakipeleka maji maeneo mapya ambapo wananchi wamejega kwa wingi na idadi kubwa ya watu.

Niliwahi kuuliza kwa mwenyekiti wa mtaa akajibu maji hayatoshi nami nikamuuliza tena kipi kinatosha.
 
Back
Top Bottom