MWAUWASA yasema inatekeleza maboresho maalum ya muda wa dharura kwa wakazi wa Busega

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa maelezo kuwa "Wakazi wa eneo la Busenga wanahudumiwa kutoka vyanzo tofauti, wapo wanaopata huduma kwa uhakika na wapo ambao tunafahamu ipo changamoto ya kutofikiwa na huduma kikamilifu.

"Mamlaka tayari imepanga kutekeleza maboresho maalum ya muda wa dharura yatakayoimarisha upatikanaji wa huduma kwa wakazi wa maeneo hayo ambayo hayapati huduma kwa utoshelevu.

Awali, iliwasilishwa na dikwa na Mdau, kusoma zaidi bofya Wananchi wa Kata ya Busenga, Wilaya ya Ilemela, Mwanza, tunakabiliwa na ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…