Kigumu chama cha makinikia! Wote tuitike KIGUMU
Nimeambiwa Kama sio kuona kwamba sasa LIKES zinekuwa dili kiasi cha kutengenezewa saco na kikoba[emoji23] [emoji23] [emoji23]! Kwamba hata mtu ukichangia pumba ama mashudu unachangiwa likes za kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbaya zaidi hili tsunami la likes limewakumba hata wakongwe! Kweli LIKES hazijawahi kumuacha mkongwe salama
Post sent using JamiiForums mobile app