Mwee eti ni kikoba cha likes

Mwee eti ni kikoba cha likes

kizibo1

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
1,187
Reaction score
766
Kigumu chama cha makinikia! Wote tuitike KIGUMU
Nimeambiwa Kama sio kuona kwamba sasa LIKES zinekuwa dili kiasi cha kutengenezewa saco na kikoba[emoji23] [emoji23] [emoji23]! Kwamba hata mtu ukichangia pumba ama mashudu unachangiwa likes za kutosha[emoji23] [emoji23] [emoji23] mbaya zaidi hili tsunami la likes limewakumba hata wakongwe! Kweli LIKES hazijawahi kumuacha mkongwe salama

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Eheee...hadithi yako inatufundisha nini!??[emoji3]
 
Ngoja niwahi hapa,japo sijaelewa kitu.[emoji124] ntarudi

Nokia tochi
 
Back
Top Bottom