Mweee Senzo Ni CEO Wa Mpito Yanga SC

Mweee Senzo Ni CEO Wa Mpito Yanga SC

wajibisha

Member
Joined
May 16, 2021
Posts
90
Reaction score
215
Wadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.

Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.

Kama CEO je ana report kwa Nani?

Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu?

Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga?

Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo ya kutosha la sivyo huu ni ujanja ujanja mwingine wa GSM kuhodhi klabu Hii ya wananchi.

Bahati mbaya viongozi wa Yanga hawana ujasiri wa kuzungumza tena mbele ya pesa.
 
TUNAELEKEA KWENYE MABADILIKO
 
Barbara ndio CEO mpya, zile Lips na miwani imempitisha mojakwamoja kuwa CEO pale Yanga.
 
Wadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.

Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.

Kama CEO je ana report kwa Nani?

Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu?

Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga?

Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo ya kutosha la sivyo huu ni ujanja ujanja mwingine wa GSM kuhodhi klabu Hii ya wananchi.

Bahati mbaya viongozi wa Yanga hawana ujasiri wa kuzungumza tena mbele ya pesa.
CEO ataripoti kwa bodi ya wakurugenzi ambayo itaongozwa na Msola
 
Wadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.

Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.

Kama CEO je ana report kwa Nani?

Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu?

Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga?

Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo ya kutosha la sivyo huu ni ujanja ujanja mwingine wa GSM kuhodhi klabu Hii ya wananchi.

Bahati mbaya viongozi wa Yanga hawana ujasiri wa kuzungumza tena mbele ya pesa.
Mwenyekiti atakuwepo. Ungehoji kuhusu nafasi ya Katibu Mkuu wa Misukule sababu CEO ndiyo anakuwa mtendaji wa Uto
 
Wadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.

Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.

Kama CEO je ana report kwa Nani?

Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu?

Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga?

Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo ya kutosha la sivyo huu ni ujanja ujanja mwingine wa GSM kuhodhi klabu Hii ya wananchi.

Bahati mbaya viongozi wa Yanga hawana ujasiri wa kuzungumza tena mbele ya pesa.
Hili tatizo lipo kote kote...hivi vilabu mabosi ndo wanaamua mambo,kwani Muddy na MAKOLO FC yake pia kuna mtu anamuuliza kitu
 
Kile ni kikundi cha wahuni[emoji2960]
 
Back
Top Bottom