Wadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.
Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.
Kama CEO je ana report kwa Nani?
Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu?
Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga?
Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo ya kutosha la sivyo huu ni ujanja ujanja mwingine wa GSM kuhodhi klabu Hii ya wananchi.
Bahati mbaya viongozi wa Yanga hawana ujasiri wa kuzungumza tena mbele ya pesa.