TUNAELEKEA KWENYE MABADILIKOWadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.
Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.
Kama CEO je ana report kwa Nani?
Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu?
Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga?
Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo ya kutosha la sivyo huu ni ujanja ujanja mwingine wa GSM kuhodhi klabu Hii ya wananchi.
Bahati mbaya viongozi wa Yanga hawana ujasiri wa kuzungumza tena mbele ya pesa.
Jibu swali kama unaweza kwa faida ya wengi,kama hujui subiri wenye kujua waje watoe ufafanuzi!! Sio kila kitu unakurupuka!! Watu wa aina yako,ndio mmefanya jukwaa hili kuwa la ushabiki.CEO atakua Barbara.
CEO ataripoti kwa bodi ya wakurugenzi ambayo itaongozwa na MsolaWadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.
Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.
Kama CEO je ana report kwa Nani?
Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu?
Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga?
Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo ya kutosha la sivyo huu ni ujanja ujanja mwingine wa GSM kuhodhi klabu Hii ya wananchi.
Bahati mbaya viongozi wa Yanga hawana ujasiri wa kuzungumza tena mbele ya pesa.
Mwenyekiti atakuwepo. Ungehoji kuhusu nafasi ya Katibu Mkuu wa Misukule sababu CEO ndiyo anakuwa mtendaji wa UtoWadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.
Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.
Kama CEO je ana report kwa Nani?
Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu?
Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga?
Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo ya kutosha la sivyo huu ni ujanja ujanja mwingine wa GSM kuhodhi klabu Hii ya wananchi.
Bahati mbaya viongozi wa Yanga hawana ujasiri wa kuzungumza tena mbele ya pesa.
Halielewi Hilo achana naloTUNAELEKEA KWENYE MABADILIKO
Hili tatizo lipo kote kote...hivi vilabu mabosi ndo wanaamua mambo,kwani Muddy na MAKOLO FC yake pia kuna mtu anamuuliza kituWadau muda si mrefu Yanga watamtangaz Mbatha Senzo kama Interim CEO wa Yanga.
Hapa kuna maswali mengi ya kujiuliza.
Kama CEO je ana report kwa Nani?
Kama ana report kwa GSM, Kwani GSM ameshakabidhiwa klabu?
Vipi kuhusu Nafasi ya Mwenyekiti wa Yanga?
Natarajia klabu ya Yanga itatoa maelezo ya kutosha la sivyo huu ni ujanja ujanja mwingine wa GSM kuhodhi klabu Hii ya wananchi.
Bahati mbaya viongozi wa Yanga hawana ujasiri wa kuzungumza tena mbele ya pesa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halielewi Hilo achana nalo