Mwekezaji afunga kiwanda kwa kukosa umeme

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Mwekezaji Mzawa wa Kiwanda cha kuzalisha nguzo za umeme cha TAWOODS, Peter Mwera amelazimika kufunga kiwanda chake baada ya kupata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja kutokana na kukosa huduma ya umeme.

Chanzo: Gazeti la Sauti ya Mara
 
Attachments

  • IMG-20220822-WA0000.jpg
    IMG-20220822-WA0000.jpg
    28.4 KB · Views: 5
Mwekezaji Mzawa wa Kiwanda cha kuzalisha nguzo za umeme cha TAWOODS, Peter Mwera amelazimika kufunga kiwanda chake baada ya kupata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja kutokana na kukosa huduma ya umeme.

Chanzo: Gazeti la Sauti ya Mara
DOUH ASANTE SANA KIPARAS
 
Amekosa umeme au soko? Maanake Tanesco sasa hivi wanatumia nguzo za zege. Kuna kiwanda cha saruji Tanga nacho kina tatizo la umeme. What's going on in this country?
 
Now days tupo bze na Asali...
 
Mwekezaji Mzawa wa Kiwanda cha kuzalisha nguzo za umeme cha TAWOODS, Peter Mwera amelazimika kufunga kiwanda chake baada ya kupata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja kutokana na kukosa huduma ya umeme.

Chanzo: Gazeti la Sauti ya Mara
Atakuwa amehujumiwa na wale wenye kiwanda cha nguzo za concrete maana wale wamiliki ni vigogo wa nchi
 
Amekosa umeme au soko? Maanake Tanesco sasa hivi wanatumia nguzo za zege. Kuna kiwanda cha saruji Tanga nacho kina tatizo la umeme. What's going on in this country?
🐝🍯🍯🍯
 
Yawezekani hivi viwanda vya nguzo vinahujumiwa makusudi ili wahuni waanze tena kuangiza nje kwa 10%
 
Wapiga vinubi wako wapi? Mbona kama wamechelewa kwenye huu uzi
 
Ichunguzwe hii; inawezekana ni hujuma toka kwa wazalishaji wengine wa nguzo kwa kushirikiana na staff wa Tanesco!
 
Mwekezaji Mzawa wa Kiwanda cha kuzalisha nguzo za umeme cha TAWOODS, Peter Mwera amelazimika kufunga kiwanda chake baada ya kupata hasara ya zaidi ya shilingi bilioni moja kutokana na kukosa huduma ya umeme.

Tanesco sasa hivi wanatumia nguzo za zege. Kuna kiwanda cha saruji Tanga nacho kina tatizo la umeme. What's going on in this country?

Vitu muhimu vya msingi kama hivi havitolewi ufafanuzi na wizara husika na kusema wanafanya nini kuhakikisha wawekezaji, viwanda na biashara, wananchi wote wana umeme wa kuaminika 24/7 siku zote.
 
24 August 2022
Mara, Tanzania

KIWANDA CHA TAWOODS KINANGOJA UMEME, LICHA YA KUWA NI ZAIDI YA MWAKA MAOMBI YAPO TANESCO

MWEKEZAJI mzawa wa kiwanda cha kuzalisha nguzo za umeme amelalamika kupata harasa ya shilingi zaidi ya bilioni moja na kulazimika kukifunga wilayani Tarime, baada ya kukosa huduma ya umeme. Mkurugenzi wa kiwanda hicho kinachojulikana kwa jina la Tarime Woods and Poles Treatment Plant Limited (TAWOODS), Peter Mwera amelitupia lawama Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kushindwa kumpatia huduma hiyo licha ya kuomba kwa zaidi ya mwaka.

Source : maraonlinenews.com https://muckrack.com/media-outlet/maraonlinenews
 
Back
Top Bottom