Mwekezaji anahitajika shamba lina ekali 10,000 Ilula- Kwimba

Mwekezaji anahitajika shamba lina ekali 10,000 Ilula- Kwimba

babakaren

Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
39
Reaction score
4
Shamba lina ekali 10,000 na linamilikiwa kisheria(LINA HATI), MWEKEZAJI anahitajika linafaa kwa kilimo: Miundo mbinu 1. Barabala 2. Bwawa la maji.
Cont: 0755 074 880
0754 062 750
 
shamba liko maeneo gani kwa sasa limelimwa nini weka hata picture basi tuone
 
Cont: 0755 074 880/0754 062 750 shamba lina ekali 10,000 na linamilikiwa kisheria(LINA HATI), MWEKEZAJI anahitajika linafaa kwa kilimo: Miundo mbinu 1. Barabala 2. Bwawa la maji.

Mleta uzi wasiliana na jamaa mmoja yupo Mwanza anaitwa KUBANGWA no 0767266322 anaweza akakusaidia ni mwenyeji wa eneo hilo.
 
That was my dream. Ngoja nijipange zaidi.
 
Back
Top Bottom