Mwekezaji anapokuwa kwenye Tuhuma kama hizi sisi wenye timu tufanyeje ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426

Sina nia yoyote nyingine zaidi ya kuomba kujibiwa hili dukuduku langu tu , maana ni wazi kwamba hali hii imeleta sintofahamu na mashaka makubwa sana japo watu wanajikaza kiume tu .
 
Serikali Yako Inadaiwa Bei Gani na Wewe upo kwenye hali Gani? Hebu tukumbushe Deni la Taifa
Swali lingine,jibu lingine,tukoje sisi?huna jibu si unyamaze,,,aliyeuliza anataka kujua kwa mfano mo anadaiwa bilion 20,je atawekeza simba 20b au atalipa deni la serekali 20 bilion?
 
Swali lingine,jibu lingine,tukoje sisi?huna jibu si unyamaze,,,aliyeuliza anataka kujua kwa mfano mo anadaiwa bilion 20,je atawekeza simba 20b au atalipa deni la serekali 20 bilion?
We ni Zwazwa uwezi elewa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…