Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Sina nia yoyote nyingine zaidi ya kuomba kujibiwa hili dukuduku langu tu , maana ni wazi kwamba hali hii imeleta sintofahamu na mashaka makubwa sana japo watu wanajikaza kiume tu .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuuSerikali Yako Inadaiwa Bei Gani na Wewe upo kwenye hali Gani? Hebu tukumbushe Deni la Taifa
Mr Janja Janja!View attachment 1132885
Sina nia yoyote nyingine zaidi ya kuomba kujibiwa hili dukuduku langu tu , maana ni wazi kwamba hali hii imeleta sintofahamu na mashaka makubwa sana japo watu wanajikaza kiume tu .
Swali lingine,jibu lingine,tukoje sisi?huna jibu si unyamaze,,,aliyeuliza anataka kujua kwa mfano mo anadaiwa bilion 20,je atawekeza simba 20b au atalipa deni la serekali 20 bilion?Serikali Yako Inadaiwa Bei Gani na Wewe upo kwenye hali Gani? Hebu tukumbushe Deni la Taifa
We ni Zwazwa uwezi elewa,Swali lingine,jibu lingine,tukoje sisi?huna jibu si unyamaze,,,aliyeuliza anataka kujua kwa mfano mo anadaiwa bilion 20,je atawekeza simba 20b au atalipa deni la serekali 20 bilion?
Yawezekana sikumwelewa zwazwaWe ni Zwazwa uwezi elewa,