Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Inategemeana na ukubwa wa jina pamoja na exposure aliyonayoWewe unaweza kumpa mtu umiliki wa biashara yako Kwa asilimia ngapi Kwa kutumia jina lake tu? Yani ugharamie kila kitu yeye aweke jina tu?
Mtu kama drake, ukitaka kuingia ubia naye itakuhitaji ugharamie gharama zote za hiyo biashara afu naye umlipe pesa kwa ajili ya kusaini hilo deal, wakati huo bado hamjakubaliana asilimia atakayokuwa anachukua