Mwekezaji inabidi ampe Diamond takriban nusu ya faida ili kutumia jina la WASAFI lasivyo apambane kivyake

Wewe unaweza kumpa mtu umiliki wa biashara yako Kwa asilimia ngapi Kwa kutumia jina lake tu? Yani ugharamie kila kitu yeye aweke jina tu?
Inategemeana na ukubwa wa jina pamoja na exposure aliyonayo

Mtu kama drake, ukitaka kuingia ubia naye itakuhitaji ugharamie gharama zote za hiyo biashara afu naye umlipe pesa kwa ajili ya kusaini hilo deal, wakati huo bado hamjakubaliana asilimia atakayokuwa anachukua
 
Ila unapoanzisha brand au kampuni jina nzuri nayo inachangia na inavuta wawekezaji.

Imagine harmonize aje na
Konde tv
Konde fm
Kondebet
Konde karanga

Ni ngumu hata kuvutia wawekezaji
Konde mbona jina zuri, kuna makampuni yana majina so weird mpaka inaboa

Kuna kampuni moja linajiita Analtech na lingine linaitwa Fuk Mi Sushi.
 
Konde mbona jina zuri, kuna makampuni yana majina so weird mpaka inaboa

Kuna kampuni moja linajiita Analtech na lingine linaitwa Fuk Mi Sushi.
Hayo majina ni shida
 
Kwa sasa shares za Wasafi obviously ndiyo zinazomuingizia pesa nyingi zaidi ya muziki wake, Kibongobongo hata ndinga anazomiliki kwa muziki peke yake it's not easy.
Sasa mtu wa hivo ni ngumu wasanii wengine kushindana nao ,maana anaingiza hela nyingi nje ya mziki,ndo maana kwenye hela ana tofauti kubwa sana na wasanii wengine
 
Hawezi kukubali kwa nini? Ishu hapa sio kwamba hana hizo hisa au jina la wasafi kuwa halina thamani, mgogoro wetu ni kama hizo hisa zimepatikana kwa kutoa jina tu?
Niliwahi kuona interview yake anasema ameingia gharama nyingi wakati inaanzishwa kwa wastan wa m.100 kwa mwezi. Nitaitafuta niiweke hapa.

Hoja yako inawezekana kwenye nadharia ila kivitendo inaacha mashaka mengi sana. Labda utoe mfano sio tu wa msanii bali wa kampuni au hata mwanamichezo aliewahi kupewa 40% ya hisa kwa kutumia jina lake tu? Mfano uwe popote pale duniani.
 
Nilitegemea uniambie hujawahi ku practice biashara kulingana na unavyoweka huo mlinganisho wa shares. Nilidhani pia Kwa muktadha wa uzi huu kwamba Labda unazumgumzia economic profits pekee au share kwenye faida pekee.

Mkuu Kwa huo mfano wako wa coca kwamba unaweza kuwapa 60% ya uwekezaji wako for just their brand name umetisha.

Nina accreditation za business law and contracts management. Na mengine pia kadhaa. I was just probing kujua unachoweka hapa unauelewa nacho in practice au Kuna ushabiki.. Na ndio maana sikutaka kuconnect my views na hii maada. Kuondoa mahaba Kwa huyo kijana.
 
Hizo biashara za kwenye tabloids mnazungumzia au biashara za kwenye real world?
 
Una uhakika gani kuwa ametoa jina tu hamna hela aliyoweka hapo Wasafi Media??
 
Reactions: Qwy
Nimekuelewa Amari.
 
Kwa bakhresa nilikuwa silijui hilo ndio leo nimejua. Ni kampuni yapi ambayo yanatumia jina la bakhresa yakiwa sio yeye mmiliki
Sahihi, anakuwa mmoja wa wamiliki kwa kuwa shares hapo.
 
Leo Azam ni chapa maarufu sana, na ana market share kubwa. Hakuna bidhaa atayoleta sokoni ikashindwa kutoboa.

Leo ukianzisha biashara mpya ukitaka iwe na chapa ya Azam, utaifikisha sokoni haraka zaidi , kuliko ungefanya mwenyewe.

Ili Azam afanye kazi na wewe, utampa asilimia ya shares(equity share) kwenye hiyo biashara/bidhaa yako
 
Kuna utofauti gani ulichoandika na ulichoniquote?
 
Nimeku-quote bahati mbaya, it was just my opinion.
Naelewa ni mawazo yako, taswira unayoijenga haipo kwenye mazingira ya kawaida ya biashara. Huwezi kuwa mfanyabiashara mdogo alafu Bakhresa akubali utumie jina lake, hiyo faida utapata shs ngapi ya kumpa yeye? Na kama ni mfanyabiashara mkubwa kwanini utoe 40% ya hisa wakati unaweza kutangaza biashara yako mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…