Mwekezaji Kutoka Ubelgiji Kujenga Kiwanda Cha Kubangua Korosho Nchini

Rwanda tumepeleka baadhi ya wabunge wetu kujifunza jinsi ya kuhifadhi fweeza kwenye fuko moja maana wao na uganda ndio loremodel wetu kwa kila kitu
Si huwa mnasema nchi haiwezi kupata maendeleo kwa kutegemea wawekezaji?

Halafu uko Ubeligiji si ndio hao wanaonuhifadhi mhaini Tundu Lisu, mnakaribisha mabeberu na wanyonyaji?

Kwa nini tusitafute wawekezaji kutoka Rwanda?
 
Wewe kijana wanaofuatilia jukwaa la siasa wote ni wanachama wa vyama vya siasa.Iwe kwa kadi au kwa kufuata tu mkumbo. Ambao hawana vyama wengi utawakuta jukwaa la mahusiano, intelligence nk.Ukiingia huku kubali kuitwa bavicha au uvccm hata kama sio.
 
Mod hizi habari muwe mnazifuta, sisi vijana wa Serengeti zinatusababishia Ulcers.
 
Uzuri wa chuki ni kuwa mchukiaji ndiye anaumia pale yule anayemchukia anapofanikiwa.
Shetani na mawakala wake wanalia na kusaga meno.
Kibarua walichonacho bavicha ni kigumu mno. Ebu fikiria kila habari ya serikali wanatakiwa waipinge, KAZI NGUMU SANA HII.
 
Msiwe waongo kiasi hicho; binafsi sijawahi kua na KADI ya chama chochote cha siasa ingawa KURA hua napiga kila uchaguzi. Nimekua mfatiliaji wa mambo ya siasa since mfumo wa vyma vingi umeanza Tanzania, sina kumbukumbu kichwani mwangu ambayo nimewahi kuona au kusikia eti chama chochote cha upinzani (achilia mbali CHADEMA inayo tajwa hapa) wakipinga maendeleo ya Tanzania, in fact nimeona mara kadhaa ccm waki copy mengi kutoka UPINZANI na kwa kizazi cha sasa hivi wana copy from Chadema; nitatoa mifano ya copy and paste ya ccm from Chadema/Upinzani.
  1. Kwenye ILANI ya uchaguzi uliopita, ccm hawakuzungumza chochote kuhusu kulifufua shirika la ndege ATC, hi ilikuwepo kwenye ILANI ya Chadema/UKAWA so hiyo ni copy and paste ya ccm. Mjinga mmoja atasema, mbona wanapinga, wao wanapinga namna iliotumika kununua ndege hizo na sio ufufuaji wa shirika. Complement kwa upinzani kwamba wao wana think tank ili hali ccm hawana.
  2. Uchaguzi wa mwaka 2000 CUF walihubiri kwamba, wakiingia madarakani watafuta KODI ya kichwa (ali maarufu kama KODI ya maendeleo), in fact CUF waliipa jina baya kabisa KODI ile kwamba ni kodi ya manyanyaso, ccm walibisha tena kwa kejeri kali kali kwamba hakuna nchi duniani inayo endeshwa bila KODI, mwaka 2004 waziri wa fedha wa wakati huo bwana BAzil Pesambili Mramba akaifuta na hadi sasa haipo na masiaha yanaendelea.
  3. Uchaguzi wa mwaka 2010 Chadema walisema wao wakiingia madarakani watatoa elimu bure from Chekechea hadi form 6 na CUF wakasema wao watatoa elimu from Chekechea hadi chuo kikuu, ccm walibisha kwamba hiyo kitu waliwahi kuijaribu na ikashindwa vibaya so haiwezekani, leo ccm inafanya kama ambavyo Chadema walisema mwaka 2010
  4. Ruzuku kwa wakulima, wafanya biashara ndogo ndogo is upinzani ndio ulikua unahubiri hayo; kinacho fanyika kwenye KOROSHO sasa hiv ni nini!?
  5. Sasa hvi mhe kaona hakuna wa kuteua huko Lumumba, kakomaa na walio kuzwa either na MBOWE/Upinzani. Kwenye kila teuzi sasa hivi lazima usajiri uwaguse wapinzani, Anna Mghwira, katibu mkuu wa wizara ya maji, katibu mkuu wa ccm wa sasa, wote hawa ni product ya UPINZANI; hi maanake ni nini? Huko kuna wapiga makofi tu, hakuna wanao fikiria zaidi ya KUPONGEZA tu, hope hili hata Benson Banna ana cha kujifunza.
Wasalaam
 
Hongera sana kwa kukumbusha hasa wale bendera fuata upepo
 
Hiz propagnda ni za kujibu ile report ambyo tumechukua nafasi ya tatu
 
Weee ufipa watapinga hao maana wameshaapa kuwa wawekezaji watutenge tubakie masiikini wao wakakae machame
Mbna mnajiwai. Tz is the 3rd riskiest country to invest. no fool will put his money in such shit hole.
 
CHADEMA si Walikuwa Ubelgiji hawakujua huyu Bwana anakuja huku manake hii habari kwa makamanda si habari Njema kwao
 
Serikali ya Mswatini nayo iko mbioni kujenga kiwanda kupika majungu huko makao makuu Dodoma.


Naliona fuvu linaanza kulainika
 
Hivi Yale makampuni 100 aliyosema majaliwa yanaanza ujenzi wa smelter enzi zile za makinikia zilipotelea wapi?
Dah umekumbuka mbali. PM ashasahau, sasa hivi ni korosho tu zikiisha hawatakosa lingine la kudandia. Kiufupi tumekuwa nchi ya matukio na si mipango na mikakati thabiti.
 
kati a viwanda 3000 vilivyojengwa awamu hii ya tano nitajie viwanda 100 tu,
Sasa mkuu walisema vyerehani vinne ni kiwanda, kwa utaratibu huo viwanda vinaweza kuwa mamia kadhaa kwa kweli.Lakini kama kweli wako serious na maana halisi ya kiwanda, basi mia inawezekana havijafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…