kichuminyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2014
- 234
- 173
Naombeni msaada wa kujua taratibu zibazotakiwa kufuatwa na mwekezaji anayetaka kuchukua ardhi ya wananchi na utaratibu wa uthamini na ulipwaji wa fidia.
Mwekezaji huyo anataka kufanya uthamini kabla ya kukubaliana anatulipaje na lini
Ni maeneo ya chamazi , alitaka kutulipa 12000 kwa sq meter na 250000 kwa cubic metre ila tulimgomea maana hiyo si thamani halisi ya eneo hilo.
Ametishia kutumia nguvu ya dola kuendelea na zoezi lake. Je ni sahihi afanyavyo?
Mwenyekiti wa mtaa hana uelewa wowote wa maswala haya na taratibu zake kila aambiwacho na mwenye hela anakubali tu.