Hivi muwekezaji hapa Tanzania ni mtu wa aina gani au anakuwa na vigezo vipi?
Mfano Katika video iliyosambaa mtandaoni ya mbunge wa CCM Musukuma akipigana mtu anayepigana anaitwa Muwekezaji, ukisikiliza hiyo story huyo anayeitwa Muwekezaji anajenga fremu za maduka!
Kiluwa anayefanya udalali wa ardhi nimesikia naye anaitwa Muwekezaji!