Mshimba1971
Member
- Dec 13, 2021
- 75
- 67
- Thread starter
- #21
Nashukuru sana kwa mawazo yako na nimefanyia maboresho kidogo hasa kuweka wazi naitaji mchango wa vifaa sio lazima pesa tasilimu na pia vifaa vitakua mali ya aliechangia na anaweza kuchukua baada ya mradi kuisha au msimu wa kulima mbogamboga kwa faida kuishaNiliona niseme jambo kupitia idia yako kuna mtu inaweza kumsaidia.pia umesema faida ya jumla una maanisha nni?moja hiyo @2,000,000/=kama faida + hela aliyo wekeza au ni julma pamoja na hela aliyo wekeza na kama ndo hivi inamaana mwekezaji atavuna 1,200,000/=kwa mda huo.sijui kama umenipata hapo.kwamsaada kwa MWENYE uhitaji pia