Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye.
Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani mpya ya Mo Simba Arena, mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio yetu baadae, tunatarajia kujenga kambi bora ya mazoezi itakuwa na gym, majengo ya malazi, kituo cha lishe, bwala la kuogolea, kituo cha burudani, viwanja vitano vya kisasa zaidi ya hayo kujenga makumbusho ya klabu na kuanzisha chuo cha maendeleo ya Vijana ili kulea vipaji vya soka Nchini"
"Ili kufanikisha yote haya tunasubiri mchakato wa mabadiliko ya Simba kukamilika, tuko katika hatua za mwisho, ujenzi wa miundombinu hii unakuja na gharama kubwa, ni ngumu kuanza huu ujenzi bila mfumo kubadilika"
Uwanja wa KMC umejengwa na municipal ya kinondoni Sio na club ya mpira /KMC. Sawasawa na uwanja wa Azam Complex, aliyejenga ni Salumu Bakhresa Sio club ya Azam. Sasa unataka MO au GSM wajenge tu viwanja bila makubaliano Yanayoeleweka kwani hizo ni timu zao kwa 100%?!!🤔
Simba na Yanga ni taasisi hazishindwi ku raise fund ya kujenga hivyo viwanja hata kutafuta wawekezaji wakaweka hela wakajenga viwanja haishindikani tatizo ni serikali yenyewe tu. Mbona Arsenal ilipata Wawekezaji wa Emirates wakajenga ule uwanja wao ?

In theory hizi timu mbili ilitakiwa ziwe na viwanja tangu miaka ya 2000. Ila in practice ndiyo wakitaka kuanza hiki mara wanakuja wazee kudai timu au makomando kunyang'anya timu.
Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. View attachment 3116797
Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani mpya ya Mo Simba Arena, mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio yetu baadae, tunatarajia kujenga kambi bora ya mazoezi itakuwa na gym, majengo ya malazi, kituo cha lishe, bwala la kuogolea, kituo cha burudani, viwanja vitano vya kisasa zaidi ya hayo kujenga makumbusho ya klabu na kuanzisha chuo cha maendeleo ya Vijana ili kulea vipaji vya soka Nchini"
"Ili kufanikisha yote haya tunasubiri mchakato wa mabadiliko ya Simba kukamilika, tuko katika hatua za mwisho, ujenzi wa miundombinu hii unakuja na gharama kubwa, ni ngumu kuanza huu ujenzi bila mfumo kubadilika"
Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji (MO), amewaonesha Wapenzi na Mashabiki wa Simba ramani mpya ya Mo Simba Arena akisema huo ni mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio ya Club hiyo baadaye. View attachment 3116797
Akiongea leo October 06,2024 kwenye Mkutano Mkuu wa Club hiyo, Mo Dewji amesema "Hii ni ramani mpya ya Mo Simba Arena, mradi mkubwa ambao utaweka msingi wa mafanikio yetu baadae, tunatarajia kujenga kambi bora ya mazoezi itakuwa na gym, majengo ya malazi, kituo cha lishe, bwala la kuogolea, kituo cha burudani, viwanja vitano vya kisasa zaidi ya hayo kujenga makumbusho ya klabu na kuanzisha chuo cha maendeleo ya Vijana ili kulea vipaji vya soka Nchini"
"Ili kufanikisha yote haya tunasubiri mchakato wa mabadiliko ya Simba kukamilika, tuko katika hatua za mwisho, ujenzi wa miundombinu hii unakuja na gharama kubwa, ni ngumu kuanza huu ujenzi bila mfumo kubadilika"
Mudi siyo wa kumuamini kivile, alishawahi kuwainyesha check ya bilioni 20.
Walipomuuliza ameiweka kwenye account ipi akadai ipo kwenye account ya club ila kama una dhambi hauwezi ukaiona🤣
Mwaka mwingine alipoulizwa tena akamjibu mwandishi "unaijua bilioni 20 wewe? Siyo hela ndigo hiyo, bilioni 20 unaweza ukaanzisha bank"
Napata ukakasi kwa hilo jina" MO SIMBA ARENA"
hyo arena ndo ule uwanja wa mazoezi au kuna arena itajengwa kwa ajili ya kuchezea mechi za ligi.?
sema tuna jenga uwanja wetu.
Ila kwa lile eneo pale😄😄😁.Mo anatupanga