Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kvp uwe mali yake wakati huo uwanja ni mali ya simba huko bunju ulinunuliwa na hasan dalali..Hiyo arena itakuwa mali yake sio ya Simba na ndio maana ina jina lake.
Siku akiamua kusepa, Simba hawana chao.
Acha ujuaji kwenye vitu usivyovijua ndugu yangu.Viwanja vya mazoezi vinajengwa hata 10 kwa mtindo huo kwa maana nin kwaajili ya mazoezi na mechi za ndogo za mazoezi.Kama kweli mtu wa football fuatilia pale Crrington uwanja wa mazoezi wa machester United kuna viwanja vngapi na vimekaaje cheki hapoyaani ujenge viwanja 4 vyenye hadhi sawa eneo moja tena kwa kuvibananisha hivyo..watu wa nchi hii mipango yao ziro kabisa!
Ila GSM mwenye 100% za Utoponga anaowafanya hamnazo yupo sahihi?.Gabachori anawafanya mbumbumbu kama matahira tu
Ili wafaidike wengine kupitia yeye. Ponjoro mjanja sio mmatengo yuleHivi Mo hawezi kufanya chochote Simba bila kutanguliza jina lake?
Simba hawana uwezo huo. Mwambie kwamza atuambie pesa zetu za michango kwa ajili yankujenga uwanja ziliishia wapi?Na kwa Mkapa utaingiza vipi mapato?
Mbona KMC wamejenga we unadhani Simba na Yanga hawana uwezo wa kujenga viwanja vyao ?
Sema post #30Simba hawana uwezo huo. Mwambie kwamza atuambie pesa zetu za michango kwa ajili yankujenga uwanja ziliishia wapi?
Mchakato unacheleweshwa na serikali sasa Simba zile hisa zishauzwa au unaropoka tu???Simba hawana uwezo huo. Mwambie kwamza atuambie pesa zetu za michango kwa ajili yankujenga uwanja ziliishia wapi?
Aibu na fedheha kwa Simba na Yanga yaan KMC imewakuta na imewapita wanachukua makombe ila viwanja hawana ni aibu kwa Club kubwaMbona KMC wamejenga
Wampe Simba iwe mali yake awajengee viwanja na hizo Arenas hamtaki hawajengeiIla Mwamedi sijui anawachukuliaje wanachama wa Simba aisee
ngumu kuanza huu ujenzi bila mfumo kubadilika