Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
mkuu, huwezi kuzuia chama cha siasa kuwa na mkakati katika suala kama hili. By the way ccm ndo chama tawala hivyo huwezi kukwepa
Mkuu huo mkakati umekuja wakati usio muafaka, kama kweli CCM wangelikuwa na nia njema basi wangehakikisha wananchi wanaielewa vyema kauli mbiu yao ya Serikali mbili.
Hii ingesaidia uungwaji mkono wa moja kwa moja na wananchi ili hata Warioba na wenzake waliokusanya mapendekezo leo hii rasimu yao ingesomeka kuwa Watanzania walio wengi wanahafiki serikali mbili.
Lakini kungojea hadi watu wakusanyike bungeni na kutaka kuyabaka matakwa ya wananchi kwa siri hakika hilo si jambo jema hata kidogo.