Mwelekeo mpya bungeni, Pinda atoa hoja kutuliza hali ya hewa

mkuu, huwezi kuzuia chama cha siasa kuwa na mkakati katika suala kama hili. By the way ccm ndo chama tawala hivyo huwezi kukwepa

Mkuu huo mkakati umekuja wakati usio muafaka, kama kweli CCM wangelikuwa na nia njema basi wangehakikisha wananchi wanaielewa vyema kauli mbiu yao ya Serikali mbili.

Hii ingesaidia uungwaji mkono wa moja kwa moja na wananchi ili hata Warioba na wenzake waliokusanya mapendekezo leo hii rasimu yao ingesomeka kuwa Watanzania walio wengi wanahafiki serikali mbili.

Lakini kungojea hadi watu wakusanyike bungeni na kutaka kuyabaka matakwa ya wananchi kwa siri hakika hilo si jambo jema hata kidogo.
 
hakika mkuu. Na ndo maana mwenye busara kuliko wote, Pinda akaitwa kutuliza hali na ndo maana hata Lipumba ambaye asubuhi ya jana alikuwa kama mlevi, jioni aliongea maneno ya hekima

wewe zuzu kweli,pinda ana busara gani????? busara ya kulia kinafiki hadharani???? au kuropoka WAPIGWE TU! pambaaaafffff zako!
 

kwa nini waalikwe na kuhongwa??? mpuuz sana wewe unayejitia upofu na kutetea upumbafu ili kutibu njaa zako,hiyo buk 7 inayokufanya ujitie mwehu itakufikisha wapi??? kutoa na kupokea rushwa yote ni makosa na ni ujinga na kujidharirisha kutetea rushwa hadharani,Jitambue na acha kutumika!
 
mkuu, huwezi kuzuia chama cha siasa kuwa na mkakati katika suala kama hili. By the way ccm ndo chama tawala hivyo huwezi kukwepa

Ivi kwani tunataka katiba ya chama au katiba ya taifa?
Jee sisi ambao hatuna chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…