Usipolipa kodi si ni jela tuNa Magufuli akishinda, sehemu ambazo wabunge wa upinzani watakuwa wameshinda, hakuna kulipa Kodi.
Maana hata mkilipa, hamtaletewa maendeleo.
Kodi zote kuanzia mwaka huu, zitalipwa kwenye majimbo yenye CCM ili wapelekewe maendeleo kwa Kodi zao, siyo wapelekewe maendeleo kwa Kodi za waote huku wengine wakibaguliwa, wakati Kodi tunalipa wote.
Wana magereza ya kufungwa wafanyabiashara wote wakiamua kutolipa?Usipolipa kodi si ni jela tu
Mpaka kuwa na guts za kutoa kauli kama hiyo bado anaishi katika mipango iliyokuwa imepangwa ya kumtangaza yeye mshindi no matter what. Hii maanaake wananchi hawana nafasi ya kumchagua kiongozi wao mkuu wa nchi bali wabunge na madiwani. Uchaguzi ulikuwa unachukulika kama kiini macho kuwahadaa wananchi na nchi hisani +mashirika ya kimataifa yanayotaka demokrasia Afrika.Hakuna Sehemu JPM anachemka Kama Kusema Mkichagua Upinzani Sitaleta Maendeleo kama Vile maendeleo ni Hisan Na hela ni zake.
Huu Ubaguzi ndoo Unaleta Chuki dhidi ya CCM yeye aseme Ninaomba Kura na mchague Wabunge na Madiwan wa CCM ila Kuanza Kuwaambia Watu eti hatoleta Maendeleo Binafsi naona Kama Anakosea Mno na Hana washauri.
Ukihitaji kitu kwa kutoka kwa mtu huonyeshi kiburi unaonyesha unyenyekevu.
Magufuli amekosa hekima ya unyenyekevu ambayo kama kiongozi unatakiwa kujua ku balance sehemu ya kuonyesha uongozi na kujiweka katika nafasi ya unaowaongoza.
Hawana ila mkizuiwa msi operate mtakula nini?Wana magereza ya kufungwa wafanyabiashara wote wakiamua kutolipa?
Mungu mbariki Tundu Lissu.Mpaka kuwa na guts za kutoa kauli kama hiyo bado anaishi katika mipango iliyokuwa imepangwa ya kumtangaza yeye mshindi no matter what. Hii maanaake wananchi hawana nafasi ya kumchagua kiongozi wao mkuu wa nchi bali wabunge na madiwani. Uchaguzi ulikuwa unachukulika kama kiini macho kuwahadaa wananchi na nchi hisani +mashirika ya kimataifa yanayotaka demokrasia Afrika.
Tundu Lissu anachukuliwa kama tishio la kuzuia mipango hii isiendelee. Akiendelea kukaza na kutoa elimu ya uraia juu ya nguvu ya wananchi katika maamuzi ya mwisho. Mengi yatatokea na yanabashirika mpaka sasa
Tutakosa wote, wao watakosa Kodi, sisi tukose ugali.Hawana ila mkizuiwa msi operate mtakula nini?
Huoni kama utakuwa at disadvantage zaidi zikiwemo harrassment za polisccmTutakosa wote, wao watakosa Kodi, sisi tukose ugali.
Mara 100 ya hizo harassment, kuliko nitoe Kodi, lakini nitengwe kisa nilichagua upinzani.Huoni kama utakuwa at disadvantage zaidi zikiwemo harrassment za polisccm
Kwanza nataka kujua maeneo ya umma walimoweka mabango mfano kwenye taa za barabarani kwa mijini wamelipia matangazo kwa manispaa na TRA au ?Hujui hayo mango ya ccm ni kodi zetu wananchi, tangu na kua huwa naona mabango ya ccm nchi nzima Tena kipindi hichi sio mengi ka kipindi Cha jakaya
Hata kijijini kwake Chato hakuna wa kutishika na hayo ma vitu,huko ulaya mbali tunasafiri na kuyaona hayo anayodai yeye kwenye nchi nyingi za kiafrika Kama Ghana,Nigeria,Ivory Coast,Kenya,Angola na hata Uganda Wana express road kubwa na nzuri ya njia sita kutoka Entebe Hadi Kampala,sasa anatutisha na kibaha hata hauishi.JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
Mwezi mmoja umekatika tangu kampeni za Uchaguzi Mkuu zianze. Hali halisi inaonesha dhahiri Taifa lilivyobugikwa na umaskini uliozalishwa ndani ya miaka 5 ya utawala huu wa awamu ya tano.
Taifa limeshuhudia wagombea urais kushindwa kufanya kampeni kwa kukosa fedha, kushindwa kuandaa mabango kwa kukosa fedha, kushindwa kutumia media kwa kukosa fedha, na kadhalika.
Nchi nzima anayetamba kwa mabango na media ni Magufuli tu kwa kutumia mali ya umma ikiwemo TBC. Wananchi wanahoji iwapo hata hayo magari ya kifahari yaitwayo maV8 ya kijani kama kweli si ya serikali.
Kwa kifupi, kampeni zinaendeshwa kwa ugumu na umaskini huku CCM pekee ikitanua. Tujitafakari. Hili nalo ni JAMBO LETU.
Wewe ni mjinga!
.
Mlikuwa mnachukua fedha chafu toka kwa vibeberu vyenu!
Safari hii njia hizo zilipozibwa mkaishia kulia.
Unawezakuta yamechapishwa bure kwa kuwalazimisha printers kupitia mkono katili wa serikali.Kuchapisha bango moja ni sh 5000 fikiria tu ni mabango mangapi yamechapishwa.
Ungekuwa unawasikia jinsi watu wanavyozungumzia kuhusu hizi barabara sidhani kama ungeandindika hayo uliyoandika,njoo uwasikilize watu huku mitaani.JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv, simu, games nk.
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
Hivyo vitu(hekima na unyenyekevu) hata Lissu hana na ndio maana wakati mwengine huwa anaropoka tu kwa kukosa hekima ila nyie mnamsifu kuwa ni msema ukweli ni shujaa.Hakuna Sehemu JPM anachemka Kama Kusema Mkichagua Upinzani Sitaleta Maendeleo kama Vile maendeleo ni Hisan Na hela ni zake.
Huu Ubaguzi ndoo Unaleta Chuki dhidi ya CCM yeye aseme Ninaomba Kura na mchague Wabunge na Madiwan wa CCM ila Kuanza Kuwaambia Watu eti hatoleta Maendeleo Binafsi naona Kama Anakosea Mno na Hana washauri. Ukihitaji kitu kwa kutoka kwa mtu huonyeshi kiburi unaonyesha unyenyekevu.
Magufuli amekosa hekima ya unyenyekevu ambayo kama kiongozi unatakiwa kujua ku balance sehemu ya kuonyesha uongozi na kujiweka katika nafasi ya unaowaongoza.